My friend! Hiki ni kipindi kigumu sana kwa mke wako, imagine kutembea na kiumbe kingine tumboni kinachopumua kama wewe na yeye, I wish wanaume tungeonjeshwa hiyo experience pia.
Sasa yeye anaona unainjoi maisha huku yeye anateseka, lakini baadae mtoto atakuwa wenu nyote, hii lazima impe hasira.
Siri ya kum-win ni kukaa naye bega kwa bega, akikutuma kitu tekeleza haraka sana, kama vihela vipo unamtoa mara kwa mara kubadili mlo. Onyesha uko karibu naye na wewe unaguswa sana na hiyo hali yake, ataanza kukuhurumia na kukupenda.
Ukiweza kufanikiwa kuiteka akili yake ktk hiki kipindi uta-score maksi nyingi sana, kwa sababu inajulikana kwamba kipindi hiki lazima mwanaume atafute nyumba ndogo ya kusapoti, na hii ndiyo huingezaga hasira hata kama hajaprove, ila tu akiona haupo anajua ndiko ulikokuwa.
Sasa jipe muda wa kuwa naye karibu sana, atakupenda sana na utashangaa, tena akikukubali hata ile mambo yetu utainjoi maana atakuwa anakupa bila shida, inabaki ni kutafuta mikao laini. Hautawaza tena kutafuta kidumu.
Jaribu hii halafu utaona majibu.