Emergence Login
Member
- May 26, 2015
- 56
- 20
kafanyaje!???
na hili la waandishi wa habari wakibaguliwa huko Dodoma hujaliona?El noma sana nimeona ilo bango limepamba ukurasa mmoja kwenye gazeti la Mwananchi leo.
Ndiyo maana Warioba alipigwa CHUPA....
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...rasmi-ya-urais-huko-butiama-01-06-2015-a.html
Akimpa uwaziri mkuu pacha wake chenge basi kura yangu anayo
Nataka hii nchi waiuze yote
Kwa sasa tunasikia tetesi kuwa ndani ya CCM kuna makundi matatu ambayo sina hakika kama ni kweli; makundi haya ni: CCM Asili (Wakulima na Wafanyakazi), CCM Fiuata Upepo (Maslahi na Ulaji) na CCM Ufisadi (Ufisadi na Kusaka Fedha kwa mbinu zote). Ujio wa Makongoro Nyerere kama kweli atatangaza nia, ujio wake utabadili sana mwelekeo wa kura za kumchagua mgombea kiti cha Rais kupitia CCM.