donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Aikambe mkuuOoh mkuu kumbe una TV hongera sana (serious)
Karibu sana mkuuMkuu nialike nije kucheza ps
LibertyMsalimie shemeji naona uko Kwa kaka yako likizo
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anapocheza 'gemu' kwenye kompyuta!Msalimie shemeji naona uko Kwa kaka yako likizo
Lol! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msalimie shemeji naona uko Kwa kaka yako likizo
[emoji23][emoji23][emoji23]Ooh mkuu kumbe una TV hongera sana (serious)
Bas umefurahiiiiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni umenichekesha sanaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Bas umefurahiiiiiiiiiii
Ukachweze na mwanaume?Mkuu nialike nije kucheza ps
Kwani vibaya kumpongeza mtu kwa hatua aliyopiga???Ni umenichekesha sanaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my CRO-L22 using JamiiForums mobile app
Hakuna ubaya kabisa hata na mimi ngoja nimpe hongera zakeKwani vibaya kumpongeza mtu kwa hatua aliyopiga???
Yaak kajitahidi bhana halalfu akaona TV tu haitoshi akaongeza na psHakuna ubaya kabisa hata na mimi ngoja nimpe hongera zake
Sent from my CRO-L22 using JamiiForums mobile app
Unaona wivu nn?Ukachweze na mwanaume?