Inaitajika roller ndogo ya kukodi

Inaitajika roller ndogo ya kukodi

Habari zenu jamani .Natafuta roller ndogo ya kukodi eneo la kazi chanika
Wewe ni Mkandarasi kweli mbona hata kujieleza hujui?Ukisema roller tu mtu hawezi kukuelewa maana ziko aina nyingi hata kwenye saluni za wadada kuna roller pia.
Na ukisema roller ndogo mtu atajuaje kama hyo unayotaka wewe ndio ndogo maana kila mtu ana macho yake na yanaangalia tofauti na mwingine.
 
Back
Top Bottom