Inahusu tcu

IDUKILO

Member
Jul 11, 2012
14
3
nauliza hivi mimi mpaka leo hii selection zangu hazija onyesha kwamba ni eligible or not eligible
na vigezo ninavyo je ni kwamba muda bado au kuna kitu nimekosea lakini nimekuwa nikilogi in sikuona
kama kuna tahazari yoyote iliyotokea kana kwamba kuna sehemu nimekosea,naombeni mnisaidie.
 
Kuna neno limeandikwa CLICK HERE kwa wino mwekundu.. So fanya ivyo uipe muda. Nilifanya hivyo
 
nauliza hivi mimi mpaka leo hii selection zangu hazija onyesha kwamba ni eligible or not eligible
na vigezo ninavyo je ni kwamba muda bado au kuna kitu nimekosea lakini nimekuwa nikilogi in sikuona
kama kuna tahazari yoyote iliyotokea kana kwamba kuna sehemu nimekosea,naombeni mnisaidie.

Soma maelezo ya kwenye My selection status utajua cha kufanya
 
tafuta veta ukasome ufundi cherehani

ivi wewe unaona watu wanaosoma veta ndio ma looser sio?ila nikuambie tu,nenda kwenye migodi yote ya madini hapa tanzania,ukajionee wahitimu hao wa veta unao wazarau wanavopiga pesa kwa sababu wengi wao ndio maoperator wa mitambo mle migodini.wewe endelea kujivunia huo mshahara wako wa TGS D tu.
 
tafuta veta ukasome ufundi cherehani

kijana mbona una dharau kiasi hebu jaribu kujiheshmu usije ukajiona ume win maisha kumbe mwisho wa siku unaonekana kiazi tu..you need to think critically as a human being na c' kuropoka kama squrial
 
Back
Top Bottom