Inahusu dada poa a.k.a machangu.

Inahusu dada poa a.k.a machangu.

Last edited by a moderator:
Hahahah yaani sister ukitaka kufuatilia posts zangu zote haswa za huku CC, utaishia kupata "breini konkasheni"....
Ila sio siri kuna raia wengine huwa wanatukosea heshima atii, sasa we unadhani kwa thread kama hii watu watatoa maoni gani mpendwa?? pengine naonekana mkali kwa kuwa nimekuwa hapa Jukwaani kwa muda mrefu kidogo kama Guest na baadaye Member, hii si aina ya Threads ambazo zimekuwa zikionekana hapa JF.

watu8 siku hizi mdogo wangu umebadilika?? yaani umekuwa mkali utafkiri baba mwenye nyumba. nini tatizo kwani??
kwa post yako hii ungekuwa na bakora ungemtwanga za makalio lol!
 
Hahahah...we mke wa Loya ndio nini kunipakazia hivyo??? ngoja nipekenyue kamusi yangu ya madongo, ole wako nirudi halafu nikukute unabung'aa hapa, nitakusuta hadi kivuli chako:msela:

Huyu c ndio mtt wa kina flani,mdomo karithi kwa mama yake itakua,amezaliwa uswazi kaloleni,kakulia uswazi,mama yake mwenyewe mswahili,kwa nini asiwe na maneno?usiseme kama nimekwambia!maana wakiungana na mama yake vijembe vinanihusu!
 
Hahahah yaani sister ukitaka kufuatilia posts zangu zote haswa za huku CC, utaishia kupata "breini konkasheni"....
Ila sio siri kuna raia wengine huwa wanatukosea heshima atii, sasa we unadhani kwa thread kama hii watu watatoa maoni gani mpendwa?? pengine naonekana mkali kwa kuwa nimekuwa hapa Jukwaani kwa muda mrefu kidogo kama Guest na baadaye Member, hii si aina ya Threads ambazo zimekuwa zikionekana hapa JF.

kuna baadhi ya nyuzi hata kama ni CC basi hazina tija kabisa na siku hizi huwa naziangalia tu nakupita kimya manake naweza kujikuta nimeharibu kwaresma yangu mapemaa wakati ndo kwanza wiki ya kwanza.
 
Kwa hiyo sisi ndio consultants wa dada poa au??....Hebu upe thamani yake basi mtandao wa JF, hii mambo yako ulitakiwa uiweke huko sijui twitter au facebook.
Yaani lijitu lizima linaomba ushauri wa namna ya kutenda dhambi, halafu linakuja hapa na misharubu imemsimama kama mnyama aliyekitwa kimoja na Libolo jana hapo Taifa Gesti Hauz...
Maarifu wangu wa Kaloleni, Soweto na Mianzini....hebu mshughulikieni huyu mb.ulula, kama vipi si mumnyonye macho tu!!

Mkuu unakosea wewe mpe ushauri mzuri, unakuwa kama shabiki wa Simba
 
Teh teh kwa hiyo jamaa kaona chit chat ina hadhi ya kuuliza huu ujinga . Wenye jukwaa lao wamemind hahahaha kosa ni la nani muuliza mada au wana chitchat?
Napita tu
 
C.T.U mbona umopetea mkuu?
Teh teh kwa hiyo jamaa kaona chit chat ina hadhi ya kuuliza huu ujinga . Wenye jukwaa lao wamemind hahahaha kosa ni la nani muuliza mada au wana chitchat?
Napita tu
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo sisi ndio consultants wa dada poa au??....Hebu upe thamani yake basi mtandao wa JF, hii mambo yako ulitakiwa uiweke huko sijui twitter au facebook.
Yaani lijitu lizima linaomba ushauri wa namna ya kutenda dhambi, halafu linakuja hapa na misharubu imemsimama kama mnyama aliyekitwa kimoja na Libolo jana hapo Taifa Gesti Hauz...
Maarifu wangu wa Kaloleni, Soweto na Mianzini....hebu mshughulikieni huyu mb.ulula, kama vipi si mumnyonye macho tu!!
nawewe upo nn mbona unamind
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom