Inahitajika nini ili radio isikike online? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inahitajika nini ili radio isikike online?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kwame Nkrumah, Jun 7, 2012.

 1. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Ninajuliza hivyo tukiwa tunaekea bunge la bajeti wiki ijayo. Ni kwa nini RTD haisikiki online? Je ni gharama sana, hamna wataamu, uzembe au hamna maslahi ya kibiashara?
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  We si ulikufaga wewe?
  Umefufuka lini?
   
 3. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,001
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Kaka ni uzembe tu kitu kikubwa ni "radio tower" ambazo RTD wanazo kila sehemu TZ. Aibu kubwa hii


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
Loading...