Inahitajika miguu ya screen ya hp pavilion dv7

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
804
Reaction score
956
Habari wadau, laptop yangu aina tajwa hapo imekatika mguu wa kulia wa kushikilia screen.
kama kuna mtu ana scaper ya laptop hiyo na cover ya screen yake tuwasiliane.
 
N8metoka Kuiuza Mwez Uliopita Mtwara Ikiwa Na Tatizo Kama Hilo Tu.
Nakushaur Muone Mwl RCT Akuagizie.
 
Back
Top Bottom