jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Mama lao,
Mimi wala hata sitaki kujua Zitto alifanya nini na Amina ila as a matter of principle ni lazima kuuliza haya maswali hata kama hayasaidii.
Huwezi ukatumia banner ya kusema ukweli lakini mambo yakizidia unasema utajibu kwa wakati wako. Ambao hamtaki kuuliza tuacheni sisi tunaotaka, hivyo ndivyo JF siku zote.
Hongera Mwaya......kama yamekushinda wenzio kama kawa...........
ndio mkuu ila nimekiona cha moto.umejitahidi kuchanganya watatu na ukawapa kibuti bila kushtukina
sio hivyo mkuu maisha waliyonikuta nayo ni yaleyale waloniacha nayo.Utakua umeishiwa tuu, ukizikamata tena lazima uwatafute.
Jamani nipongezeni kwa hili, nilikuwa na uhusiano na wanawake watatu hivi.
Kila kukicha huyu analeta invoice ya matatizo yake, mara kuwapigia simu wote.
Huku utume vocha, nilikonda jamani eti.
Nimesitisha tu huduma kwa siku mbili karibia wote eti wananijia juu, eti hunipendi mara oooh hujali matatizo yangu, sasa hivi mimi nilikua mtatua matatizo na si mpenzi.
Nimepiga chini wote na kwa sasa yaani najisikia kama nimetoka jela, vinyweleo vyote vinapumua.
Nimeota na kitambi kwa sasa maana hakuna stress tena.
Poleni mlioko kwenye mikiki mikiki, mwenzenu niko huru.
kama yumo humu anikome kabisa...hahahaaa dah nimecheka sana kuhusu vinyweleo,ila ngoja uliowapiga chini wapo hapa jamvini wakunyonyoe ivyo vinyweleo...
Utawasaka tena tu, ngoja nyegggge zikuje.
wapelekee wazazi wako hasa wa kiumesasa hamia kwenye KY safi sana
kama yumo humu anikome kabisa
ndo hivyo mkuuhaaaaaaaa......akuwaaaache kbsa