Kayaula Musa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 694
- 719
Watu wengi hufanya kazi kwakutegea waajiri ilimradi mwezi ukamilike wapate Chao ilawewe umejituma kuhakikisha mwajiri anapata faida sio vibaya kuomba nyongeza usitumie sheria kwenye hili unaweza kukaa nae kiurafiki mkajadiliana namna yakuboresha kampuni yenu nahapo swala lamasilahi litaingia usiache kazi Kama hujapata sehemu nyingine mtaani tunavoishi mungu anajua sio mbaya kuwa mnyonge ilimradi mipango yako iti ie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app