Inachezwa chini ya maji mno

Wanamtandao ni ngumu Sana kuwadondosha

Labda nature iseme inatosha sawa

Tulishindea October 29 sizani Kama itajirudia

Wenye nguvu kama huna jeshi ni ngumu kuwashinda kwa kupiga kelele.

Ile MO29 isingewezekana bila msaada wa Silaha. Kama silaha zingekuwepo mtaani wale waliojitokeza walitosha kabisa kugeuza mawe.

Lakini huna silaha, huna mipango, huna pesa, unawezaje kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…