Inabidi tuache kwenda kwa michepuko duh

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,780
East Africa Radio

Mama mmoja mkazi wa Kijiji cha Isanjandugu - Katavi, aliyefahamika kwa jina la Fatuma, amemlalamikia RC Katavi Juma Homera, juu ya kukimbiwa na mume wake kwa miezi 3 na kuhamia nyumba ndogo.

RC Homera amemtaka mwanaume kurudi kwa mkewe akiwa na mali walizochuma pamoja.
 
Ujinga tu.
Huyo RC ndio anaamua watu waoe wake wangapi?
Ugomvi wa mtu na mkewe yeye unamuhusu nini?
Ukisikiliza upande mmoja kwenye mambo ya ndoa za watu utajikuta unakurupuka Sana.
Mimi huwa nawaambia nyie wawili ndio mnajua chanzo Cha ugomvi na Nani anatakiwa kukubali ili kutatua tatizo.
Mimi mtu wa tatu ntaleta umbea tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom