Ina maana JWTZ wamenywea kabisa?🤣

Ina maana JWTZ wamenywea kabisa?🤣

Jeshi liko imara Hao Delta Force hawawezi kutia maguu nchi hii wanajua hawatarudi
IMG_0865.jpeg
 
Jeshi liko imara Hao Delta Force hawawezi kutia maguu nchi hii wanajua hawatarudi
View attachment 3525045
Hawa takataka wanaotekwa mpaka na Mafwele, wanatumikishwa na Abdul kadri anavyojiskia ndio unawalinganisha na Special operation force bora kabisa duniani???

Hii comedy wala hata haichekeshi, hizo takataka zenu kwanza hazina hata uwezo wa kuwakabili wanamgambo wa M23 tu hapo ukienda RDF ndio hamuwawezi kabisa.
 
Hawa JWTZ mnaowakejeli wanakesha wamesimama mipakani kule Mumiramira Ngara na kule Ruvuma ili sisi huku mijini tulale tukikoroma!.

Hili sio jeshi la mwendokasi huwezi kuliingiza kwenye utoto wa kina Mange na wapuuzi wenzake wa kule instagram.

Tarehe 9 Desemba hakutoka nje hata sisimizi. Yule mkenya Larry akatupiga dongo akisema Watanzania wamefungiwa ndani kama panya.
 
Back
Top Bottom