hill and portion
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 1,236
- 744
Akuuuu nina kinyaa sanaa huwa siyo mpenzi wa romance.... kwa mume wangu im free siyo kwa wengineHujala mate ya watu wengi?!
Akuuuu nina kinyaa sanaa huwa siyo mpenzi wa romance.... kwa mume wangu im free siyo kwa wengineHujala mate ya watu wengi?!
Kila kitu ulijifunzia kwa mumeo?!Akuuuu nina kinyaa sanaa huwa siyo mpenzi wa romance.... kwa mume wangu im free siyo kwa wengine
Umri wako haukuruhusu kujuaBJ ndo nn
Haaha cant imagine hiyo harufu khaaa romance yataka moyo kwa kweliiHahah unanikumbusha kunasiku usiku mshkaji wangu alinambia nimskoti kwa demu wake, tulivyofika baada ya maongezi yule demu akaanza kumlazimisha jamaa romance ili waagane, sasa jamaa akawa anakataa, sasa ukiona wanavyovutana utacheka ufe,
sasa mimi nimekaa kwenye gari nawachora, mpaka jamaa akafanikiwa kujinasua lakini hakukiss, baadae tuko njiani tunarudi nikaanza kumcheka na kumuuliza why alikuwa anakataa kiss? Jamaa akasema yule demu mdomoni alikuwa anatemba kama chemba ndomana akamkwepa, Ila baadae tuligundua anamatatizo ya mdomo baada ya kuwadadisi marafiki zake
Mambo ya ndani hayo hayapaswi kusema huku mkuuKila kitu ulijifunzia kwa mumeo?!

Haaha ndo kuumizana hivyoo looh hata kula sikuweza ikipita chumvi mdomoni kosaa acha kabisaLabda alikuwa ana practise rough / hard sex...
Pole sana
Acha uchoyo ww....je ningeomba kbsMambo ya ndani hayo hayapaswi kusema huku mkuu![]()
Hahah unanikumbusha kunasiku usiku mshkaji wangu alinambia nimskoti kwa demu wake, tulivyofika baada ya maongezi yule demu akaanza kumlazimisha jamaa romance ili waagane, sasa jamaa akawa anakataa, sasa ukiona wanavyovutana utacheka ufe,
sasa mimi nimekaa kwenye gari nawachora, mpaka jamaa akafanikiwa kujinasua lakini hakukiss, baadae tuko njiani tunarudi nikaanza kumcheka na kumuuliza why alikuwa anakataa kiss? Jamaa akasema yule demu mdomoni alikuwa anatemba kama chemba ndomana akamkwepa, Ila baadae tuligundua anamatatizo ya mdomo baada ya kuwadadisi marafiki zake
Asaaante mkuuHayo mapenzi au vita ya tatu ya dunia? Mpaka umekuwa majeruhi??? Pole sana
Laivu, wenzetu wamepiga hatua na wanafanya vitu kwa uelewa,....kuna movie inaitwa addicted nimetoka kuiangalia punde, jamaa wanjua kukiss hadi mtazamaji una feel something, wako vizuri, sasa kutana na mbongo hilo domo anavyokupa, wakati wenzao wanacheza na lips. kisses za kibongo ni kero bora ugegede tu mbele kwa mbele.
Hahaha sasa haujaangalia bed kama yuko vizuri?Asikwambie mtu!!! Ukikutana na mtu hasiyejua kukiss utajuta.!! Kuna mkaka aliwai nikisss niliumwa lips wiki nzima. Yaani alikua anang'ata ile mbaya. Unamsukumiza lakini wapi! Aisee nilikoma. Yaani kiss tu ilinikimbiza