Ina maana hata kukiss hujui?

Kuna watu wengine uki-kiss nae utahisi kichefuchefu mara unakupaka mimate yake(kwa wale wanaokua na mate mengi mdomoni) usiombe ukute ananuka mdomo pywuuuu cheeeeefuu
Hahah unanikumbusha kunasiku usiku mshkaji wangu alinambia nimskoti kwa demu wake, tulivyofika baada ya maongezi yule demu akaanza kumlazimisha jamaa romance ili waagane, sasa jamaa akawa anakataa, sasa ukiona wanavyovutana utacheka ufe,
sasa mimi nimekaa kwenye gari nawachora, mpaka jamaa akafanikiwa kujinasua lakini hakukiss, baadae tuko njiani tunarudi nikaanza kumcheka na kumuuliza why alikuwa anakataa kiss? Jamaa akasema yule demu mdomoni alikuwa anatemba kama chemba ndomana akamkwepa, Ila baadae tuligundua anamatatizo ya mdomo baada ya kuwadadisi marafiki zake
 
Mbona mnatetea ujinga?
Wengi ni wanafiki tu,
Hapa mnajidai kuiponda kiss kwa kigezo haitii mimba wakati kutwa sex mnafanya kwa ndomu
Ujinga ni pale mtu anaamini kila atakayempenda lazima ajue kukiss! Umeona wapi wanazaliwa wakijua hata ku....mba hayo yote utajutana nayo kwa muda mwafaka na kwa mtu.

Cha muhimu ni kupenda halafu hayo sijuie kukiss kunyonya nini na nini inategemea mtu na mtu.

Wajinga watetezi wa kiss mnadhani watu wanatongozana ili wakissiane!!!!

Narudia tena kiss haitii mtu mimba. Na uliona wapi watu wanaitana shemeji kwa sababu kaka alimkisi tu.

Wajinga eleweni mtu anatafuta kut......a na sio kukiss
 
Wanyama pekeyao ndio hufanya tendo la ngono kwaajili ya kuzaana, ndomana wengi hawapandani hadi wawe na joto,
Ila binadamu na Shark wao wanafanya kwa starehe na kuzaana pia
Binadamu na mnyama katika suala la utendaji ngono ni yupi mwenye akili?

Kuna mnyama anayemfanya mwenzie katika njia ya haja kubwa?

Kuna mnyama SHOGA?

Agizo la Mungu ni kuzaa na kuijaza dunia yake sio kusex ili kukata hamu na kupunguza nyege.
 
Apana sijawahi asojua ila wakunuka mdomo mpaka ukasema Haya ni mateso gani huyo nilisha muona
halafu ni Handsome smart lakini mdomo ndio utatapika...lol
Hahah pole sana,
kwa wanaume wengi wao wanaonuka midomo huwa ni watumiaji wa sigara au pombe
 
Ujinga ni pale mtu anaamini kila atakayempenda lazima ajue kukiss! Umeona wapi wanazaliwa wakijua hata ku....mba hayo yote utajutana nayo kwa muda mwafaka na kwa mtu.

Cha muhimu ni kupenda halafu hayo sijuie kukiss kunyonya nini na nini inategemea mtu na mtu.

Wajinga watetezi wa kiss mnadhani watu wanatongozana ili wakissiane!!!!

Narudia tena kiss haitii mtu mimba. Na uliona wapi watu wanaitana shemeji kwa sababu kaka alimkisi tu.

Wajinga eleweni mtu anatafuta kut......a na sio kukiss
Maskini wee, sisi tupo karne ya 21 yeye tumemuacha karne ya 18,
 
Binadamu na mnyama katika suala la utendaji ngono ni yupi mwenye akili?

Kuna mnyama anayemfanya mwenzie katika njia ya haja kubwa?

Kuna mnyama SHOGA?

Agizo la Mungu ni kuzaa na kuijaza dunia yake sio kusex ili kukata hamu na kupunguza nyege.
Unataka kusema kwamba tasa na wagumba hawana haki ya kushiriki tendo kisa hawazai?
NIJIBU HAPO NIUPIME UFAHAMU WAKO
 
Mwaka mgumu sana huu.
Majipu mpaka kwenye mapenzi.

Mtu anakunyonya mdomo mpaka lips zinauma.
Jamani ukinyonywa denda sharti ulegeze misuli ya lips ili mwenzako aifaidi hiyo nyama laini. Sio kukaza misuli Kama mnyanyua vyuma.
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Ukiona anajua k7kiss jua ni extra used. Bora asijue na mshauriane namna ya kufurahia mapenzi.

Na sio kila mtu atavutiwa na kiss kwa wengine kiss haina kionjo cha mapenzi hata ukifanya kwa kiwango cha Phd.

Narudia tena kama kiss inatia mtu mimba hapo sa3a
na wasi wasi na wewe hhhahahahaahhhahhahhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom