Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,561
- 16,339
Avatar zingine bhana hatari tupuHahahah mbona vita vya MAUMAU.Ila darasa ni la wote pia unaweza kuta hata wanaume wanakutana na wadada wanakiss kama ni mavampire yanataka kunyonya damu.By the way kama umempenda mtu ni swala dogo tu lakufundishana maana no one is perfect in everything.Anaweza akawa mtu hajui kukiss ila kunako 6*6 ni shughuli ambayo hata akiletwa kamanda Sirro hawezi kuikamata
hatari.