Kubusu tu huwezi, utampata nani mjini hapa?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,144
Reaction score
166,082
KWANZA NITANGULIZE SAMAHANI LAKINI NGOJA TU NILISEME:
Kwa Wanawake na Wanaume,wote msikie,Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na Relationship nzuri,lakini,tatizo,hata Kissing tu ni shida...Mtafeli!Unakiss na mtu ana vurugu utadhani anapalilia migomba,haieleweki anafanya nini,hadi ukitoka hapo unapitia dukani kununua SALIMIA ukajichue Lips zote za moto,hoi,nyang'anyang'a.Jamani naongopa??Hamna watu wa aina hii??
Even Kissing is a problem,ukipewa kulima lami si ndo utaleta maafa??Kwani kujifunza kissing nayo imekuwa ngumu kama Mzaramo kuongea Spanish?Wengine mnakosa na mmekosa Wachumba hivihivi kwa kudharau hili,Day 1 tu umepewa kideti unakiss unaruka ruka kama mabehewa ya Tazara,mdada wa watu anaona mmmh hiki kimbembe,siku ya kukupa jibu anakwambia,''Sorry, I think I am rushing into this relationship,I need time to be alone''
Kumbe umeharibu mwenyewe kaogopa tu kusema Hujui kubusu maana utampiga makofi na wengine mtaanza kutukana bure lakini habari ndo hiyo,Utapigaje Busu kama unapigana vita vya MAUMAU???
 
Kufundishana inaruhusiwa mwelekeze mwenzio jinsi ya kufanya atakuwa bora ktk mapenzi
 
Ndio maana unataka kumuacha kisa hajui kukukiss?
Au kwasababu hajui kumake love bali kusex tu?

Kama ni hayo tu, dada nenda kwa casanova ambaye ndani hatulii; abusive na bahili. Hivyo vitu vyote unamfundisha, tena huo ni ushahidi kuwa huyo hakuwa player. Wewe ulizaliwa unayajua?
 
KWANZA NITANGULIZE SAMAHANI LAKINI NGOJA TU NILISEME:
Kwa Wanawake na Wanaume,wote msikie,Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na Relationship nzuri,lakini,tatizo,hata Kissing tu ni shida...Mtafeli!Unakiss na mtu ana vurugu utadhani anapalilia migomba,haieleweki anafanya nini,hadi ukitoka hapo unapitia dukani kununua SALIMIA ukajichue Lips zote za moto,hoi,nyang'anyang'a.Jamani naongopa??Hamna watu wa aina hii??
Even Kissing is a problem,ukipewa kulima lami si ndo utaleta maafa??Kwani kujifunza kissing nayo imekuwa ngumu kama Mzaramo kuongea Spanish?Wengine mnakosa na mmekosa Wachumba hivihivi kwa kudharau hili,
Day 1 tu umepewa kideti unakiss unaruka ruka kama mabehewa ya Tazara,mdada wa watu anaona mmmh hiki kimbembe,siku ya kukupa jibu anakwambia,''Sorry, I think I am rushing into this relationship,I need time to be alone''
Kumbe umeharibu mwenyewe kaogopa tu kusema Hujui kubusu maana utampiga makofi na wengine mtaanza kutukana bure lakini habari ndo hiyo,Utapigaje Busu kama unapigana vita vya MAUMAU???
giLESi na wewe umezidi kuwa mfyatuko... Siku ya kwanza tu tayari ushampa mate?!!! Siku ya tatu si utampa tigorusha?
 
Last edited by a moderator:
kukiss mambo ya kizungu...sie twapenda kugegeda...mbinue mpe dushelele
 
Kissing is an art...ila mambo yote ipo Nyanda za Chini Kusini, ile kitu ONE EYED SNAKE ikishapekechwa huko, mate yote kinywani yanayeyuka kama mkate kwenye TOASTER.
 
acha kwanza umbulula!,haya makavu si aliyatoa Smile?umekopi mazima?
ingependeza ungekuwa mbunifu kidogo,na kama ubunifu huna,wewe UTAMPATA NANI MJINI HAPA?
 
Last edited by a moderator:
Sisi kwetu ni kazi tu mambo ya kissi mnaiga tu kwa njiwa siyo asli yetu.
 
Labda lipstick yako ina flavor ya kitimoto, jamaa akitaka kukuchapa denda anajikuta amekutafuna

hahaaa.....kaka utaua watu kwa vicheko hapa.halafu unakuta jamaa amepiga bia bila kula akiskia huo mnuso msosi tayari,
 
kipi kinaanza, kissing kabla ya kupewa go ahead or go ahead and then kiss??
micharuko mingine bana!
 
KWANZA NITANGULIZE SAMAHANI LAKINI NGOJA TU NILISEME:
Kwa Wanawake na Wanaume,wote msikie,Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na Relationship nzuri,lakini,tatizo,hata Kissing tu ni shida...Mtafeli!Unakiss na mtu ana vurugu utadhani anapalilia migomba,haieleweki anafanya nini,hadi ukitoka hapo unapitia dukani kununua SALIMIA ukajichue Lips zote za moto,hoi,nyang'anyang'a.Jamani naongopa??Hamna watu wa aina hii??
Even Kissing is a problem,ukipewa kulima lami si ndo utaleta maafa??Kwani kujifunza kissing nayo imekuwa ngumu kama Mzaramo kuongea Spanish?Wengine mnakosa na mmekosa Wachumba hivihivi kwa kudharau hili,Day 1 tu umepewa kideti unakiss unaruka ruka kama mabehewa ya Tazara,mdada wa watu anaona mmmh hiki kimbembe,siku ya kukupa jibu anakwambia,''Sorry, I think I am rushing into this relationship,I need time to be alone''
Kumbe umeharibu mwenyewe kaogopa tu kusema Hujui kubusu maana utampiga makofi na wengine mtaanza kutukana bure lakini habari ndo hiyo,Utapigaje Busu kama unapigana vita vya MAUMAU???

Sasa mbona mnatuchanganya.......kila mahali mnaandika uzoefu unahitajika....swali ni je hao wenye uzoefu walianzia wapi.....Nikupe mfano wangu wakati nakutana na my wife yaani wote tulikuwa mazombe hakuna wa kumcheka mwenzie ila tulielekezana na kusoma na kuangalia vitendo hivi sasa tumekuwa wazoefu...... Swali ni je hao wazoefu wameuopata wapi?
 
Uwiiiiii mbavu zangu jamani I love you jf friends mnaniliza mnanichekesha mnani huzunisha mnaniogopesha ila hii ya leo mbavu zangu zinauma kwa kucheka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom