Ina maana hakuna msichana aliye single?

James Uronu

Senior Member
Jan 26, 2013
161
72
Kila msichna ninaye mtokea yupo in relationship sijapata ambaye yupo single pamoja nakusema yupo na mtu bado atakubali tuu.

Vipi upande wako mdau.
 
Unapo mtokea msichana yyte yule mwenye kujitambua jiandae kukabiliana na hilo swali,hivyo basi kaza usikate tamaa tafuta majibu ya kulivunja vunja hilo swali lake.mwisho wa siku unakua wako
 
Kila msichna ninaye mtokea yupo in relationship sijapata ambaye yupo single pamoja nakusema yupo na mtu bado atakubali tuu.

Vipi upande wako mdau.
Atakuwaje single wakati sisi wenye magari tunamiliki zaidi ya 20 na tunawapangia ratiba ya kuja.
Nunua Rav4 new model wote wanakuwa single,hata wake za watu sio sumu ukiwa na gari.
 
I have yet to meet a girl who is 'single' in every sense of the word as far as [romantic] relationships go.

Most of them always have a couple guys whom they are either sizing up or just kicking it with in the meantime and in between time.

I am yearning for that day to come.
 
Back
Top Bottom