Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Xa mwanzoni zipi hizo? Mbona Mimi sikuziona hizo za mwanzoni na mbona huo ufafanuz hajautoa, yeye anasema hizi hizi zinazotembea toka juzi maanaa lisu mwanzoni hakuwa na nyomi, kule Mbagara, pwani, mtwara na Zanzibar sasahivi ndio nyomi Ya kufa mtu na hakuna Picha ya lisu ambayo ni ya uongo zote ni za ukweli na huwa zinaambatana na video ili kuondoa kupotoshaZa mwanzoni baadhi hazikua halali
Hakuna mtu alietunga visheria vya ajabu ajabu vya kuumiza Kama Magufuli, usitake tufunue masheria Ya kishenzi, hayupo rais duniani alietunga sheria nyingi za kuumiza raia Kwa muda mfupi Kama magufuli, tuchukue moja tu Ya mafao, kuwa had ufike miaka 60 hata wewe ni mtetez wake Lakini unaipinga, maaana anaeikubali sio mzimaNilishauri kwenye moja ya bandiko CCM waachie uhuru wa vyombo vya habari ili waone hoja za wenzao waweze kuzipatia majibu kwenye mikutano yao. Ni hatari kama hoja zinazotolewa na upande mmoja hazitapatiwa majibu toka upande wa pili. Mfano suala la wafanyabiashara kubambikiziwa kodi Raisi Magufuli anaonewa kwani sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015 ilitungwa kwenye Bunge la Mwisho la Mh Kikwete na ilipitishwa kwenye kikao cha mwisho cha Bunge la Kikwete kabla ya Bunge kuvunjwa; Mh Raisi analaumiwa wakati yeye anasimamia tuu sheria ambayo ilipitishwa kabla hajawa Raisi wa Nchi. Kwa hilo la kusimamia sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015, Mh Magufuli anatakiwa pongezi kwa kusimamia vema sheria iliyopitishwa na Bunge; hata hivyo kama kuna Ibara haijakaa sawa, ni vizuri akaahidi kwenye kampeni zake kuifanyia mapitio hiyo sheria; mimi kwa upande wangu Ibara ya 78 ina mapungufu inahitaji kufanyiwa mapitio.
Hivi siku hizi katiba inafuatwa?Nilishauri kwenye moja ya bandiko CCM waachie uhuru wa vyombo vya habari ili waone hoja za wenzao waweze kuzipatia majibu kwenye mikutano yao. Ni hatari kama hoja zinazotolewa na upande mmoja hazitapatiwa majibu toka upande wa pili. Mfano suala la wafanyabiashara kubambikiziwa kodi Raisi Magufuli anaonewa kwani sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015 ilitungwa kwenye Bunge la Mwisho la Mh Kikwete na ilipitishwa kwenye kikao cha mwisho cha Bunge la Kikwete kabla ya Bunge kuvunjwa; Mh Raisi analaumiwa wakati yeye anasimamia tuu sheria ambayo ilipitishwa kabla hajawa Raisi wa Nchi. Kwa hilo la kusimamia sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015, Mh Magufuli anatakiwa pongezi kwa kusimamia vema sheria iliyopitishwa na Bunge; hata hivyo kama kuna Ibara haijakaa sawa, ni vizuri akaahidi kwenye kampeni zake kuifanyia mapitio hiyo sheria; mimi kwa upande wangu Ibara ya 78 ina mapungufu inahitaji kufanyiwa mapitio.
Mimi nimetolea mfano hoja moja tuu ya Wafanyabiashara kubambikiwa kodi kuwa ni kutokana na Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya Mwaka 2015 iliyopitishwa na Mh Kikwete baada ya Bunge kuipitisha Joyce joyceHakuna mtu alietunga visheria vya ajabu ajabu vya kuumiza Kama Magufuli, usitake tufunue masheria Ya kishenzi, hayupo rais duniani alietunga sheria nyingi za kuumiza raia Kwa muda mfupi Kama magufuli, tuchukue moja tu Ya mafao, kuwa had ufike miaka 60 hata wewe ni mtetez wake Lakini unaipinga, maaana anaeikubali sio mzima
Usisahau kutaja kisomoMi sidhani Kama Kuna anaemdanganya labda anajidanganya mwenyewe maana ana macho,na masikini na akili Sasa iweje adanganywe
Hata Bashite pia anamdanganya kupitia kivuli cha mkuu wa mkoa mstaafu!Pole Pole huyo na Bashiru ndio wanamdanganya
Meko pumzi imekata kilichobaki ni tume na policeccm kuokoa jahaziPole Pole huyo na Bashiru ndio wanamdanganya
Unapambia! Sheria za kodi zinabadirika kila kikao cha bunge la budget. Ndani ya miaka 5 hiyo Sheria iendelee bila mabadiriko na lawama kwa serikali ya mh Magufuli zipindishwe ni unafiki. Mfumo wa kodi Tanzania umewekwa makusudi kuneemesha wafanya kazi TRA. Zunguka sehemu nyingi utakuta wafanyabiashara wa ngazi sawa wanalipa kodi tofauti kwa sababu tu mmoja aliongea vizuri na mkadiria kodi. Mkadiriaji anajua fika kodi ni laki 5, anakwambia milioni na nusu, unaongea nae anakwambia 'kalipe laki 5, nipe laki 5, laki 5 nimekupunguzia!'Nilishauri kwenye moja ya bandiko CCM waachie uhuru wa vyombo vya habari ili waone hoja za wenzao waweze kuzipatia majibu kwenye mikutano yao. Ni hatari kama hoja zinazotolewa na upande mmoja hazitapatiwa majibu toka upande wa pili. Mfano suala la wafanyabiashara kubambikiziwa kodi Raisi Magufuli anaonewa kwani sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015 ilitungwa kwenye Bunge la Mwisho la Mh Kikwete na ilipitishwa kwenye kikao cha mwisho cha Bunge la Kikwete kabla ya Bunge kuvunjwa; Mh Raisi analaumiwa wakati yeye anasimamia tuu sheria ambayo ilipitishwa kabla hajawa Raisi wa Nchi. Kwa hilo la kusimamia sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015, Mh Magufuli anatakiwa pongezi kwa kusimamia vema sheria iliyopitishwa na Bunge; hata hivyo kama kuna Ibara haijakaa sawa, ni vizuri akaahidi kwenye kampeni zake kuifanyia mapitio hiyo sheria; mimi kwa upande wangu Ibara ya 78 ina mapungufu inahitaji kufanyiwa mapitio.
Umejadili kwa kiwango cha wafanya biashara wale wasiotengeneza mahesabu; huku bado ni bwereree maana ukishalipa hiyo uliyokadiriwa utakutana na TRA mwaka unafuata. Ngoma iko kwa wale wanaotengeza hesabu; baada ya muda ya kuwa umelipa kodi zako ulizojikadiria wewe mwenyewe, TRA hufanyia ukaguzi hizo kodi na kuja na ongezeko la kodi; ambapo ndipo watu wanaposema wamebakiwa lakini ni kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi, na ibara hatari kabisa in Ibara ya 78.Unapambia! Sheria za kodi zinabadirika kila kikao cha bunge la budget. Ndani ya miaka 5 hiyo Sheria iendelee bila mabadiriko na lawama kwa serikali ya mh Magufuli zipindishwe ni unafiki. Mfumo wa kodi Tanzania umewekwa makusudi kuneemesha wafanya kazi TRA. Zunguka sehemu nyingi utakuta wafanyabiashara wa ngazi sawa wanalipa kodi tofauti kwa sababu tu mmoja aliongea vizuri na mkadiria kodi. Mkadiriaji anajua fika kodi ni laki 5, anakwambia milioni na nusu, unaongea nae anakwambia 'kalipe laki 5, nipe laki 5, laki 5 nimekupunguzia!'
Nafikiri hata hao wanapenda uhuru na hakiMeko pumzi imekata kilichobaki ni tume na policeccm kuokoa jahazi