Ina maana Caf hawajui logo ya Yanga au ni dharau?

Mwaka 2006 alitingi final ya caf je nyie makolo mmewahi kufika hiyo stage?
2002 walifika semi final je nyie makolo mmewahi kufika hiyo stage?
Mwaka 1998 wakachukua kombe la caf je nyie makolo mmewahi kuchukua ilo kombe?

Didier Drogba, Solomon kalou,emanuel eboue, yay toure,kolo toure, yao gervihno,bakari kone,bone ventura kalou hao wote ni zao la asec mimosas..nionyeshe zao la wachezaji wa simba waliotamba ulaya.
Sio ulaya hao jamaa wametamba katika club kubwa eg arsenal,Manchester city,Barcelona, ac Milan,bayern Munich na Chelsea.

Nyie makolo kufuzu makundi mnaleta habari zenu za ajabu ajabu hapa.
Sema kitu gani ambacho mmewazidi asec mimosas academy
Mzee unafahamu kitu kinachoitwa club coefficient?
Ni point ambazo club inapata uwanjani kutokana na performance zake mechi za kimataifa.....UEFA wanazitimia kujua club bora na kufanya seeding ya makundi kwenye UCL, CAF na yenyewe hufanya hivyo hivyo kwenye kufanya seeding za makundi ya CafCL, hata FiFa kwenye worldCup

Sasa kwa kutumia vigezo hivyo ambavyo vinatumiwa na CAF na UEFa na FIFa, Simba imeizidi Asec,

Kucheza fainali miaka 30 ili yopita haukuifanyi timu kuwa kubwa bali ni consistency
 
Mzee aliyekudanganya ukubwa wa Club unapimwa kwa chipukizi wa academy ni nani?

Ukubwa wa Club unapimwa kwa mafanikio ya senior team kwenye mashindano ya kimataifa.... ukiweza ku retain chipukizi wako na kuwatumia kwenye timu ya wakubwa na wakuletea mafanikio uwanjani ndio unakuwa timu kubwa
Sasa kwenye makombe 5imba anamzidi nini ASEC Memosas?
 
Mwaka 2006 alitingi final ya caf je nyie makolo mmewahi kufika hiyo stage?
2002 walifika semi final je nyie makolo mmewahi kufika hiyo stage?
Mwaka 1998 wakachukua kombe la caf je nyie makolo mmewahi kuchukua ilo kombe?

Didier Drogba, Solomon kalou,emanuel eboue, yay toure,kolo toure, yao gervihno,bakari kone,bone ventura kalou hao wote ni zao la asec mimosas..nionyeshe zao la wachezaji wa simba waliotamba ulaya.
Sio ulaya hao jamaa wametamba katika club kubwa eg arsenal,Manchester city,Barcelona, ac Milan,bayern Munich na Chelsea.

Nyie makolo kufuzu makundi mnaleta habari zenu za ajabu ajabu hapa.
Sema kitu gani ambacho mmewazidi asec mimosas academy
Umeua hio kenge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom