In these difficult Times.

Xuma

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
683
196
Hii Clip ya Bob inahusika sana katika kipindi hiki jamani


Emancipate yourselves from mental slavery;
None but ourselves can free our minds.
Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look? Ooh!
Some say it's just a part of it:
We've got to fullfil the book.
278199_10151246318245757_1013402052_o.jpg 278199_10151246318245757_1013402052_o.jpg
 
Tatizo ni kuwa wengi wetu ambao ndio wapiga kura hawajawa huru bado toka katika utumwa wa akili hivyo naona bado tuna safari ndefu ya kuwaweka huru,na njia pekee ni kuwafikia walipo na si kwa kusimama majukwaani au kwenye vyombo vya habari maana ninao wazungumzia mambo hayo yote kwao ni anasa..
 
Back
Top Bottom