Kurudisha taifa kwa Mungu ni mdudu gani?Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole
Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure.
Hilo taifa lilikuwa na misingi ya Kilokole. Viongozi hawa walikuwa Wacha Mungu Sana.
Kutokana na hilo, wakaweka slogan Yao " In God We Trust " Kwenye sarafu Yao.
Sio hilo tu, huko nyuma ilikuwa lazima raia wa Marekani kulipa fungu la kumi Kanisani.
Ilikuwa tena ni lazima kila mwananchi kukalili amri kumi za Mungu. Makanisa ya Catholic, Anglican, Lutheran nk hayakupenya Sana Marekani. Wao waliamini Ulokole. Miongoni mwa makanisa ya Kilokole yaliyoshamiri Sana lilikuwa Kanisa la BAPTIST
Kutokana na hili, Mungu akalibariki Sana taifa la Marekani na by 1880, Marekani rasmi ikawa na Uchumi Mkubwa duniani.
Baraka hizi za Mungu Zilimiminika Sana kiasi kwamba gunduzi nyingi za Kisayansi na technology ziligundulika Marekani. Tumeshuhudia ugunduzi wa aeroplane, radio, TV, computer nk.
Cha ajabu Mdogomdogo kwa kadri muda Ulivyoendelea, Marekani wakaanza Kumuacha Mungu na kukaribisha Ushetani. Sasahivi Ushetani Unatisha Sana ndani ya taifa la Marekani.
Viongozi wameleta Sera za Kishetani Kupindukia. Taifa la Marekani liko hoi. Limezama kwenye shimo la dhambi.
Tushukuru, raisi Trump Ameahidi kulirudisha taifa kwa Mungu. Anapinga Sana Sera za Kishetani
Sijui unaongelea nnWaasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole

Umeniwahi mkuu, nilitaka nireply kama weweIn Gold, Oil and Diamond (GOD) We trust.
Take gold, oil and diamond from all over to the word and store in the US.
BP (matank ya mafuta baharini)
The treasure (gold and diamond).
Sio kweli, hawakuwa hata wakristo wengi wao wa hao founding fathers bali walikuwa deists,Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure.
Hakika nakazia ujumbe wako mkuuSawa mtumishi. Tumekusoma. Tukumbuke pia kwamba kushika amri za Mungu na maelekezo yake, lazima kuambatane na kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili tuweze kufanikiwa Kiroho na Kimwili.
Kuna sera za kishetani zaidi ya utumwa/"slavery"? Watu weusi Marekani walishawahi kulipwa kutokana na utumwa?Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole
Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure.
Hilo taifa lilikuwa na misingi ya Kilokole. Viongozi hawa walikuwa Wacha Mungu Sana.
Kutokana na hilo, wakaweka slogan Yao " In God We Trust " Kwenye sarafu Yao.
Sio hilo tu, huko nyuma ilikuwa lazima raia wa Marekani kulipa fungu la kumi Kanisani.
Ilikuwa tena ni lazima kila mwananchi kukalili amri kumi za Mungu. Makanisa ya Catholic, Anglican, Lutheran nk hayakupenya Sana Marekani. Wao waliamini Ulokole. Miongoni mwa makanisa ya Kilokole yaliyoshamiri Sana lilikuwa Kanisa la BAPTIST
Kutokana na hili, Mungu akalibariki Sana taifa la Marekani na by 1880, Marekani rasmi ikawa na Uchumi Mkubwa duniani.
Baraka hizi za Mungu Zilimiminika Sana kiasi kwamba gunduzi nyingi za Kisayansi na technology ziligundulika Marekani. Tumeshuhudia ugunduzi wa aeroplane, radio, TV, computer nk.
Cha ajabu Mdogomdogo kwa kadri muda Ulivyoendelea, Marekani wakaanza Kumuacha Mungu na kukaribisha Ushetani. Sasahivi Ushetani Unatisha Sana ndani ya taifa la Marekani.
Viongozi wameleta Sera za Kishetani Kupindukia. Taifa la Marekani liko hoi. Limezama kwenye shimo la dhambi.
Tushukuru, raisi Trump Ameahidi kulirudisha taifa kwa Mungu. Anapinga Sana Sera za Kishetani
Kutokana na hilo, wakaweka slogan Yao " In God We Trust " Kwenye sarafu Yao.
Wachina ni mahustlers ujue, hawabagui kazitofautisheni utajiri wa serikali ya china na taifa lachina
Wangekuwa matajiri wangekuwa wanasukuma matolori kariako hmo
Kwani kusukuma torori dhambi mzeetofautisheni utajiri wa serikali ya china na taifa lachina
Wangekuwa matajiri wangekuwa wanasukuma matolori kariako hmo
wachambia gunzi hao ,eti wameendelea wameendeleaKwani kusukuma torori dhambi mzee