In Ethiopia: African Union celebrates 50 years

Yericko Nyerere,

..nimesikitishwa na kitendo cha Raisi kuamua kwenda Addis kwenye sherehe, wakati huku nyumbani kuna machafuko na wananchi wamepoteza maisha. je, kwa mtizamo wa Raisi, sherehe za Addis zina umuhimu kuliko haya yanayotokea kusini mwa nchi yetu?

cc: THE BIG SHOW, Mchambuzi, Sikonge, Masanilo, EMT, NasDaz
JokaKuu,
Kwanza nisingependa kuita hiki kinachotokea hapa nyumbani hivi sasa ni maafa! Maafa ni jambo zito na mungu aipushie mbali manake nchi hii haijapata kuwa tayari kwa maafa tangu nipate akili! Hata hivyo, sina shaka kwamba nchini kwa sasa kuna matatizo, na haya si tu yale ya Mtwara bali sehemu mbalimbali.

Pamoja na yote hayo, bado naona ni namna gani suala la kuadhimisha miaka 50 ya OAU ilivyokuwa na ulazima kwetu hata kama sio muhimu kihivyo! Ulazima ninaouona hapa ni ule ukweli kwamba hasilani hapana yeyote anayeweza kuyataja mafanikio ya OAU pasipo kuitaja Tanzanaia! OAU ni Tanzania na Tanzania ni OAU kutokana na sababu kubwa kwamba, one of the objectives za OAU ilikuwa ni kuhakikisha nchi zote za Africa zinakuwa huru! Wataalamu wa siasa na historia wanaweza kunisahihisha lakini kama kumbukumbu zangu zipo sawa, nazani Makao Makuu ya Kamati ya Ukombozi ya OAU yalikuwa Jijini Dar es salaam chini ya Brigedia Mstaafu Hashim Mbita(ready 2b corrected if am wrong). Kamati Kuu ya Ukombozi ya OAU ndiyo ilikuwa na jukumu la kuhakikisha Afrika yote inakuwa huru! Kama kuna mafanikio kwa 99% ya OAU basi ni hili la kufanikisha uhuru wa nchi zote za Afrika ingawaje bado kuna doa ndani ya Sahara Magharibi ambako Morocco bado hawataki kuondoa ushawishi wao! So, ule ukweli tu kwamba mafanikio makubwa ya OAU ni kufanikisha the main objective ambayo ilisimamiwa vizuri na serikali ya Tanzania; ambapo awamu ya kwanza chini ya Mwalimu ilitumia resources zake nyingi sana kufanikisha main objective inakuwa well attainable; basi bila shaka Rais wa Tanzania alikuwa na sababu za kwenda kushuhudia maadhimisho hayo!

Na jambo lingine ambalo naweza kusema OAU/AU kwa sasa wanatakiwa kujivunia ni hili la kuto-entertain mapinduzi...hakika hili nalo wanapaswa kujivunia kidogo manake nazani hivi sasa wanajeshi popote pale Africa kabla hawajafanya mapinduzi, changamoto ya kwanza wanayokabiliana nayo ni kujiuliza endapo mapinduzi yao yatakubalika! Hili, limesaidia sana kupunguza mapinduzi ya kijeshi Africa!
 
Last edited by a moderator:

Bora hizi nchi zingeendelea kuwa colonies na zingekuwa better off that zilivyopata uhuru
OAU ama AU is just a debating society or just a paper tiger
 
We're not better off kwa sababu tumekuwa huru au we're not better off coz' tumeshindwa ku-take advantage ya kuwa huru?
 
Mkuu wangu Jasusi,
nimekuona hapo kwenye user list.....don't quit the thread b4 u say anything....and in fact, not anything but everything coz' i know u know a lot of issues about OAU; by reading and even by ur own eyes! plz, welcome to the show!
 
Last edited by a moderator:
-Umoja wa nchi zaidi ya 50 zenye marais wengi wasioweza kulisha hata wananchi wake

-Hivi unapokua na umoja ambao kibaraka mkubwa kama Joyce Banda ni mwanachama unajiskiaje

-Kwame Nkrumah,J.K Nyerere,Patrice Lumumba,Gamal Abdel Nasser huko walipo sijui wanajiskiaje kuona mataifa haya yanakua treated kama malaya kwa ukuwadi wa viongozi wao.Wote waliokua makao makuu Addis Ababa hawajui malengo ya mashujaa wetu isipokua Mugabe.Nimemkumbuka Comrade Muammar Ghadafi.Leo ulikua mkusanyiko wa makuwadi wa Mabeberu(Pimps).Shameless Puppets!Hata walipokaa tu na kujivunia pamejengwa na beberu mpya Mchina.Tumejiuza west sasa tunajiuza mashariki ya mbali.Fedheha iliyoje?
 
Acha pompous za usomi wewe. Mtoa mada kuandika EU kapitiwa tu alimaanisha AU. Na usimfikirie kuwa ni mjinga hajui madhumuni ya huo umoja(AU). Na ni upuuzi uliotukuka kujitapia elimu ikawa jamii yetu bado tunakabiliwa na matatizo ya 'kijinga' ambayo wenzetu walioendelea( na ndiyo wasomi haswa) ilishabaki ni historia. Ni Jeremy Taylor, aliyesema " To be proud of learning is the greatest ignorance ". Ndugu yangu, usomi wa kudharau wengine si usomi bali ni uwendawazimu.
Dr. Si hivyo kama unashabikia kupitiwa hufai. Hayo yaliyotokea Muhimbili kwa daktari kumfanyia upasuaji mgonjwa wa mguu akafanya upasuaji wa kichwa ni sahihi? tunyamaze alipitiwa! Siwezi eti najisikia kwa usomi wangu nisikosoe nakushangaa! Ujinga ndo unatusubua ndo maana tupo hapa.
 
-Umoja wa nchi zaidi ya 50 zenye marais wengi wasioweza kulisha hata wananchi wake

-Hivi unapokua na umoja ambao kibaraka mkubwa kama Joyce Banda ni mwanachama unajiskiaje
Hakika ninapoona jina la huyo mama kupitia pc yangu huwa nakaribia hata kuipigiza chini! Nilikuwa na wasiwasi na huyo just within her very first few days in the office!
 
JokaKuu,
Kwanza nisingependa kuita hiki kinachotokea hapa nyumbani hivi sasa ni maafa! Maafa ni jambo zito na mungu aipushie mbali manake nchi hii haijapata kuwa tayari kwa maafa tangu nipate akili! Hata hivyo, sina shaka kwamba nchini kwa sasa kuna matatizo, na haya si tu yale ya Mtwara bali sehemu mbalimbali.

Pamoja na yote hayo, bado naona ni namna gani suala la kuadhimisha miaka 50 ya OAU ilivyokuwa na ulazima kwetu hata kama sio muhimu kihivyo! Ulazima ninaouona hapa ni ule ukweli kwamba hasilani hapana yeyote anayeweza kuyataja mafanikio ya OAU pasipo kuitaja Tanzanaia! OAU ni Tanzania na Tanzania ni OAU kutokana na sababu kubwa kwamba, one of the objectives za OAU ilikuwa ni kuhakikisha nchi zote za Africa zinakuwa huru! Wataalamu wa siasa na historia wanaweza kunisahihisha lakini kama kumbukumbu zangu zipo sawa, nazani Makao Makuu ya Kamati ya Ukombozi ya OAU yalikuwa Jijini Dar es salaam chini ya Brigedia Mstaafu Hashim Mbita(ready 2b corrected if am wrong). Kamati Kuu ya Ukombozi ya OAU ndiyo ilikuwa na jukumu la kuhakikisha Afrika yote inakuwa huru! Kama kuna mafanikio kwa 99% ya OAU basi ni hili la kufanikisha uhuru wa nchi zote za Afrika ingawaje bado kuna doa ndani ya Sahara Magharibi ambako Morocco bado hawataki kuondoa ushawishi wao! So, ule ukweli tu kwamba mafanikio makubwa ya OAU ni kufanikisha the main objective ambayo ilisimamiwa vizuri na serikali ya Tanzania; ambapo awamu ya kwanza chini ya Mwalimu ilitumia resources zake nyingi sana kufanikisha main objective inakuwa well attainable; basi bila shaka Rais wa Tanzania alikuwa na sababu za kwenda kushuhudia maadhimisho hayo!

Na jambo lingine ambalo naweza kusema OAU/AU kwa sasa wanatakiwa kujivunia ni hili la kuto-entertain mapinduzi...hakika hili nalo wanapaswa kujivunia kidogo manake nazani hivi sasa wanajeshi popote pale Africa kabla hawajafanya mapinduzi, changamoto ya kwanza wanayokabiliana nayo ni kujiuliza endapo mapinduzi yao yatakubalika! Hili, limesaidia sana kupunguza mapinduzi ya kijeshi Africa!

NasDaz,

..the irony ni kwamba mikoa ya kusini ndiyo iliyotoa mchango mkubwa zaidi ktk ushiriki wa Tanzania ktk harakati za ukombozi wa Kusini mwa Afrika.

..wananchi wa kusini walipaswa kuwa na shamra-shamra za aina fulani kukumbuka mchango wao mkubwa waliotoa, siyo kuwa ktk hali ya mashaka kama inayoendelea sasa hivi huko kusini.

..kwa kuzingatia wingu la wasiwasi na huzuni lililotanda mikoa ya kusini, how is Kikwete concious wakati anapokea pongezi kutokana na mchango wa Tanzania ktk harakati za ukombozi wa kusini mwa Afrika??

cc: Mchambuzi, Jasusi, Nguruvi3
 
We're not better off kwa sababu tumekuwa huru au we're not better off coz' tumeshindwa ku-take advantage ya kuwa huru?

Mkuu,
You have a point. We are not better off kwa sababu tumeshindwa kutumia kwa manufaa uhuru wetu. Leo tuna viongozi wanatuambia wasipokwenda nje kuomba misaada tutakufa njaa. Nakumbuka mwaka 1995 wakati Mwinyi alipokwenda Afrika kusini kuaga Mandela alimuasa kuwa ni kizazi cha sasa tu ambacho kitakumbuka kuwa Tanzania ilisaidia katika ukombozi wa Afrika kusini. Hatukujiandaa kutumia vizuri nafasi zilizoletwa na usaidizi wetu katika kukomboa nchi za kusini mwa Afrika. Nakumbuka kuna wakati mdogo wangu alikuwa anapeleka shrimps Zimbabwe, baada tu ya uhuru, lakini kwa ufinyu wa akili zake akauachia mtaji huo. Hebu tujiulize, tunauza nini Msumbiji? Afrika kusini ndiyo usiseme kabisa. Yaani wao wametumeza kabisa kuanzia bia zetu, shirika la ndege, uwekezaji katika madini, tumekuwa kama satelite yao, lakini sisi je? Hatuna hata pamba ya kuwauzia. It is a big shame. And to add insult to injury, miaka 50 baada ya kuundwa kwa AU leo tunajivunia jengo la makao makuu ambalo limejengwa na Mchina. What a shame!
 
Katibu wa kwanza wa u-moja wa afrika (OAU) ni Oscar Salathiel Kambona
 
Kwa leo sitaki kuzungumza mengi manake hata kumaliza kuisoma hii post nimeimaliza kwa taabu! Nimeimaliza kwa taabu coz' nimeumia mno since bado naamini solutions to our problems are still within our finger tips with very few from outside wakati hata hizo solutions from outside can never be in the form of assistance! Kila ninapoangalia matatizo mengi ya nchi hii, naona solutions zake zikiwa just few millimeters mbele ya macho yetu! Hatujatumia japo robo ya uwezo wetu wa kufikiri katika kutatua matatizo hayo.....hata pale panapohitaji kutumia vidole vyetu kuhesabu ili kupata jibu la 4+5 bado tunafungua excel spread sheet kutafuta solution ya 4+5! Inaumiza, wacha nilale!
 
Issue ni lugha ipi n why....inahitaji umakini and patience angalia Mfano Nigeria wanaafrican languages lakin mpaka leo hawajafikia muafaka Wa ipi itumike wanatumia kiingerezaa sasa hiyo ni Nchi moja...we are talking abt Africa nzima...people are proud of who they are..culture na customs zao...letting go is a challenge...bado tuna safari hopefully Kiswahili can serve the purpose
Mkuu nadhani hakuna kitu rahisi kama kuchagua lugha ya mawasiliano, hapo Nigeria pana mafuta hivo nchi za magharibi lazima zihakikishe mambo yao (ikiwemo na lugha) yanakwenda sawa. Kenya na Uganda zimeamua kuweka Kiswahili kama lugha yao ya Taifa katika katiba zao. Kwa nini AU hawaamui?
 
Dr. Si hivyo kama unashabikia kupitiwa hufai. Hayo yaliyotokea Muhimbili kwa daktari kumfanyia upasuaji mgonjwa wa mguu akafanya upasuaji wa kichwa ni sahihi? tunyamaze alipitiwa! Siwezi eti najisikia kwa usomi wangu nisikosoe nakushangaa! Ujinga ndo unatusubua ndo maana tupo hapa.
Mkuu yaonekana wewe umesoma sana na ni mwanasiasa maana unavonisakama ni kama vile tupo kwenye uchaguzi kugombea ubunge nk. Hii ni 'typing error' tu mkuu sasa na wewe hapo kwenye 'red' vipi? Si vema kuona kibanzi kwenye jicho la mwenzio na kuacha boriti jichoni pako.
 
Back
Top Bottom