Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,135
mbona magari huwa mayachomi au hasira zinaapply kwenye baadhi ya vitu? au hata cash ulokwisha chukua mbona hamrudishi? kapete tu ndo kanasababisha hasira? au ukute umevaa Gauni alokununulia na situation ikakukuta uko kariakoo mbona hamvui?Sio rahisi kuwaza hayo ukiwa Na hasira!
Nini Pete,
Ukinikoroga nakudai hadi Mapene ya Vocha nilizokutumia-Na utatoa tu.
Kwani washaamua katiba iweje....lol!
me niliiuza huku machozi yananitoka
Damn sitaki kukumbuka that moment,duh
...nataka picha zanguu!,.....hahaaaaaaaaaa!
Kweli mkuu kama ulitoa za ndani?!
mi niliitupa chooni na barua ya posa ckutaka kuviona kabisa
sichukui chochote toka kwa mwanamke mapenzi yanapokoma!hata akirudisha sipokei..atatafuta pa kuvitupa
Inategemea, baadhi ya wanaume hudai pete zao na wengine huamua kusahau. Mambo ya kudai vitu mlivyopeana ni mambo ya kishenzi.
Wamepitisha..kuna kipengele kinasena nyie mnaovalishwa pete halaf mnakaa miaka 2 bila ndoa mnatakiwa mdai mgawanywo wa mali
Wamepitisha..kuna kipengele kinasena nyie mnaovalishwa pete halaf mnakaa miaka 2 bila ndoa mnatakiwa mdai mgawanywo wa mali
Na hao wanaodai vitu wengi wao ni maskini tu....
mi niliitupa chooni na barua ya posa ckutaka kuviona kabisa
Mbona wao pia wanadai mgawanyo wa mali japo wamezikuta?
Nini Pete,
Ukinikoroga nakudai hadi Mapene ya Vocha nilizokutumia-Na utatoa tu.