Important Message from the U.S. Embassy in Dar es Salaam

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
!
Safety at Home, on Foot, in a Car


August 29, 2012

Due to the recent home invasions on a Msasani Peninsula expatriate compound in Dar es Salaam, the U.S. Embassy would like to remind you that crime in Tanzania is increasing. Criminal activity can take place anywhere during the day or the night. We recommend taking the following measures to improve your personal security.

Below are some security reminders for residences, vehicles, and pedestrians.

Residential Security:

• Lock all doors and security grills -- especially at night.
• Ensure windows and fire escape grills are secured.
• Keep your mobile phone charged and close to you at all times.

Pedestrians, Joggers, Cyclists:

• Avoid carrying backpacks and purses.
• If you exercise on the street, select routes where you can run, walk, or bike on the shoulder and face oncoming traffic, if it is safe to do so.
• Don't wear headphones.
• Exercise with a buddy.
• Avoid exercising after dark.
• Wear bright reflective clothing.
• Don't carry a wallet, flashy watch, jewelry, or iPods.
• Just carry a concealed cell phone and a minimum amount of cash (not ATM, credit, or debit cards).

• In Dar es Salaam, AVOID WALKING/BIKING near Touré Drive, Coco Beach, Ubungo bus station, the South Beach ferry area, or any place where there aren't houses on both sides of the road. Assailants may hide in brush-covered areas or in crowds. If you go to the South Beach ferry or the Ubungo bus station, arrive and depart in a secured vehicle.

Vehicles:


• Lock your doors and close your windows.
• Set the alarm (if available) when you park.
• Secure bags in the trunk or leave them at home.
• Don't take public transportation such as bajajs and daladalas, or hail unknown taxis on the street. Use a car service or have a hotel or restaurant hire a cab for you.
• When you drive at night in Dar, be especially cautious when stopped at traffic lights. In order to avoid assault at isolated intersections, some drivers do not stop at lights, but proceed after slowing down. This means that intersections are really dangerous at night, whether you have the right of way or not.
• When driving in traffic, leave adequate space between your car and the vehicle ahead to permit you to maneuver out of danger.

The U.S. Embassy in Dar es Salaam encourages U.S. citizens to enroll in the Smart Traveler Enrollment Program ( <https://step.state.gov/step/> STEP) for the most up-to-date safety and security information. Keep all of your information in STEP up-to-date by maintaining your current phone numbers and email addresses where you can be reached in case of an emergency.

You can stay in touch and get updates by checking the U.S. Embassy Dar es Salaam <http://tanzania.usembassy.gov/> website. You can also get global updates at the U.S. Department of State's Bureau of Consular Affairs <http://www.travel.state.gov/> website, where you can find the current Worldwide Caution, Travel Warnings, Travel Alerts, and Country Specific Information. Follow us on Twitter and the Bureau of Consular Affairs page on Facebook as well, or you can download our free Smart Traveler iPhone App <App Store - Smart Traveler> for travel information at your fingertips.

Current information on safety and security can also be obtained by calling 1-888-407-4747 toll-free in the United States or a regular toll line at-1-202-501-4444 for callers from other countries. These numbers are available from 8:00 a.m. to 8:00 p.m. Eastern Time, Monday through Friday (except U.S. federal holidays).


U.S. Embassy in Dar es Salaam, Tanzania

686 Old Bagamoyo Road, Msasani

Tel: [255] (22) 229-4000; Fax: [255] (22) 229-4721

Email: <mailto:drsacs@state.gov> drsacs@state.gov

After Hours U.S. citizen emergencies should call +255-(0)22-229-4000 and wait for the operator to answer.
 
...Mhhh! Dar tambarare!!!!...polisi magamba wako busy kuwawinda viongozi na wafuasi wa CDM huku ujambazi ukizidi kushamiri!!!!
 
hivi ule utaratibu uliokuwepo wa kila siku jioni mapolisi wanatawanywa jioni mitaani kwa ajili ya doria bado upo?...........maana kule mitaa ya O'bay, Upanga Seaview ndio kabisaa vibaka walikuwa hawagusi kule.......
 
Kagasheki hii inamuhusu sana,kwa ajili ya kukuza sensa ya watalii mwishoni mwa mwaka,
 
polisi sasa sio tena wakulinda raia na zao, ila sasa wameongezewa vifaa zaidi na kuvutishwa bangi nyingi na pombe kuhakikisha inakabiliana na chadema kikamilifu, aibu tupu
 
bora watusaidie, maana ukimuuliza KOVA anakuambia ujambazi umepungua...wakati hapo juu tumeona imeandikwa unaongezeka
 
Additional point plz! TZ is the most dangerous place 2 live, don't trust even policemen, they are thief and killers, nowadays they kill using bombs. Dont trust even TZ government officials, they are all the same.:shetani:
 
samahani mkuu New York kuna vibaka wanaoruka ukuta kuiba chupa tupu za soda?

Man mbona nashindwa kukuelewa? wizi ni wizi tu, kama wao hawaruki ukuta na kuiba kama ulivyosema wanakupiga risasi mtaani hausomi habari mbalimbali tafuta murder rate huko uone kuna sehemu nyingine watu wanaopigwa risasi tu hadi kufa ni zaidi ya 40 kwa mwezi, na hata wewe ukibahatika labda kupelekwa New York kikazi mwenyeji wako atakawambia kuna sehemu usiende wanaita no go Areas!
 
Hii taarifa ingependeza sana kama mwisho wangeandika

Cc: Said Mwema - IGP

Cc:Al-Haji Kova,
Cc:Charles Kenyela(maana maeneo mengi yaliyotajwa hap ni ya KINONDONI)
Cc:Mzee chagonja(maana opereshen kwa sasa hazieleweki)
Cc:Nchimbi na naibu wake
 
acha ujinga uhalifu ni uhalifu hata uwe wa kuiba kuku.Newyork ni kati ya miji yenye uhalifu wa hali ya juu
unapajua New York? au umekulia manzese ndio maana unajua kurukia hoja za watu kwa matusi?
 
Man mbona nashindwa kukuelewa? wizi ni wizi tu, kama wao hawaruki ukuta na kuiba kama ulivyosema wanakupiga risasi mtaani hausomi habari mbalimbali tafuta murder rate huko uone kuna sehemu nyingine watu wanaopigwa risasi tu hadi kufa ni zaidi ya 40 kwa mwezi, na hata wewe ukibahatika labda kupelekwa New York kikazi mwenyeji wako atakawambia kuna sehemu usiende wanaita no go Areas!

bronx na harlem ni maeneo ambayo watu hushauriwa wasiende,yana uharifu
 
Man mbona nashindwa kukuelewa? wizi ni wizi tu, kama wao hawaruki ukuta na kuiba kama ulivyosema wanakupiga risasi mtaani hausomi habari mbalimbali tafuta murder rate huko uone kuna sehemu nyingine watu wanaopigwa risasi tu hadi kufa ni zaidi ya 40 kwa mwezi, na hata wewe ukibahatika labda kupelekwa New York kikazi mwenyeji wako atakawambia kuna sehemu usiende wanaita no go Areas!
Tatizo lako unaangalia sana sinema, halafu soma vizuri taarifa iliyotolewa na embassy kama hujui kizungu sema utasfriwe kwa kiswahili sio una provoke tu, watch and learn
 
unapajua New York? au umekulia manzese ndio maana unajua kurukia hoja za watu kwa matusi?

taarifa ya U.S embassy ni kwa raia wake,,,so kwa sasa raia wa u.s anaweza kuelewa matukio yanayoendelea tanzania kwa taarifa ambazo anazisoma kwenye mtandao wa ubaloz wa u.s dar es salaam,sasa huyo mdau anaweza kuijua au kuielezea NYC kwa kutumia mitandao,
kuna maeneo yametajwa kuwa ni hatar kama vile Harlem na bronx,,,,,ila sosi ni mtandao
 
Now this is dangerous; Police Tanzania doesn't know their Duties!! They always collude with robbers!
 
Back
Top Bottom