Important: Ilani za Vyama, CCM, CHADEMA na CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Important: Ilani za Vyama, CCM, CHADEMA na CUF

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pascal Mayalla, Sep 14, 2010.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,536
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Hizi ni ilani za uchaguzi za vyama vitatu vikuu vya siasa hapa nchini, CCM, CHADEMA and CUF.

  Wataalam wa uchambuzi, naombeni m-compare and contrast.

  Attachments zinafuata.
   

  Attached Files:

 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  ziko wapi na kama huna wacha niziweke hapa maana naona unahangaika;; wakuu hizi hapa za CHADEMA na Chama Cha Mafisadi kazi kwenu
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,536
  Trophy Points: 280
  .
  son of peasant, asante kunibandika hapa hizo Ilani, ila hukuitendea haki ilani ya CCM kwa kuiita ilani ya chama cha mafisadi. Tunapozungumzia ilani za vyama, ni ilani za vyama.
   
 4. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2010
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ya CUF ipo wapi nina taka pia kuisoma kama kuna mtu anayo tafadhali niwekee
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,536
  Trophy Points: 280
  Fungua ile zip folder utaikuta na ya CUF
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Pasco asante sana. Nilitamani kupata soft copies za vyama hivi vya siasa nizisasambue!
   
Loading...