Import duty in tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Import duty in tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MmasaiHalisi, Jan 20, 2009.

 1. MmasaiHalisi

  MmasaiHalisi Senior Member

  #1
  Jan 20, 2009
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asalam alekum watanzania wenzangu, mimi ningepanda kujua kiwango kinachotozwa na TRA kama kodi pale unapoagia bidhaa kutoka nje ya Tanzania, kwa muda mrefu nilikuwa nataka kufanya biashara ya kuimport bidhaa hapa Tanzania tatizo kutokuwa na ufahamu juu ya kodi, naomba wale wote wenye uelewa mpana zaidi juu wa suala hili wanijulishe, nijue ni alimia ngapi huwa inatozwa na TRA
   
 2. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2009
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Viwango vya kodi vinatofautiana. Ni vema ukajulisha unataka kuingiza kitu gani ili uelemishwe.
   
 3. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2009
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
 4. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  From the practical point of view: Unapo import bidhaa kutoka nje kuna kodi aina mbili (kubwa)

  1. Import duty - hii tutozwa kati ya kiwango cha 0% hadi 25% - 0% kwa bidhaa ambazo ni like agricultural inputs machines, computers & its accessories na all capita inputs! 5% kwa semi manufactured goods eg vipuri vya magari na 25% kwa bidhaa kamili eg nguo, magari etc.

  2. VAT - huchajiwa at rate of 20% on gross cost i.e incl excise duty + import duty isipokuwa kwenye capital goods

  3. Excise duty nayo huchajiwa kati ya 0% hadi 20%!

  Need we say more!

  Cheers
   
  Last edited: Feb 9, 2009
 5. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2009
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Pia wakuu mimi ningependa kujua kama kuna kiwango/kiasi gani cha bidhaa kinachochukuliwa kama ni halali kutozwa kodi. Niliwahi kuwa na Wakenya huko nje wakaniambia kwao kama quantinty ya aina moja ya bidhaa ikizidi tatu, ndipo kodi inaanza kutozwa (lakini nadhani hii inaapply kwa baadhi ya bidhaa). Kwa mfano, ukinunua kamera huko nje, basi zisizidi tatu ili usilipishwe kodi, zikizidi zinachukuliwa kama ni bidhaa za kibiashara, na zikiwa less or equal to three, inachukuliwa kama ni kwa matumizi yako tu. Kwa Tanzania mambo huwa yanakuwaje pale airport? Kuna classification yoyote ya bidhaa?
   
 6. M

  Mkora JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu Heshima mbele
  Hizo ulizoandika ni kuonyesha Tanzania inafuata Sheria wew peleka mzigo wako uone
  Kuna kitu kinaitwa LAKINIHiyo ndio inaumiza watu utaona document inapotea, Verifier atakutishia ku uplift, kukucheleweshea document zako makusudi TICS
  In fact bado hatu ready kuendelea kuna vitu ni kwa maendeleo ya nchi kuna watu wanajiweka katikati kwa manufaa yao WIzi mtupu !
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu heshima mbele JF kila siku tutaendelea kuwa makini. kila kitu kipo Ok ila nafikiri vidole vinamfupa kwenye keyboard hiyo katika tax terminologies inaitwa " EXCISE" - Customs clearance tax before paying VAT
   
 8. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe kwamba zipo kasoro kadhaa kwa watendaji wetu, lakini nilichotaka kukionyesha ni ukweli wa sheria na taratibu zinavyotakiwa ziwe pamoja na kodi halali unazotakiwa kulipa. For your information, watanzania tuliowengi tulishaingiwa na mdudu wa rushwa vichwani mwetu, so huwatunafikiri hakuna kitu kinakwenda bila ya kutoa rushwa....HILI SI KWELI KABISA.....wakati mwingine ni sisi wenyewe ndo huwa chanzo cha kutoa rushwa (hulazimisha mambo kwa rushwa).

  Kwa ushauri wangu kama umeagiza mizigo yako nje jaribu kutumia C&F Agents, using'ang'anie kuclear mwenyewe mzigo...tumia ma agents, hope hakutakuwa na matatizo mengi sana!
   
 9. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Thanks mkuu kwa kuiona hiyo.........! nime edit na original post yangu!

  Cheers
   
Loading...