Immo ring (Pete ya bahati)

Mama embu nipe faida zake na hasara

Navyofahamu pete hii inaweza kukusaidia katika masuala ya biashara, mali, utajiri, ndoa, kazi, mahusiano, uongozi, kujikinga na wachawi, ulinzi (Kujikinga na wizi & majambazi ) nakadhalika.
 
Ni pete ambazo ameifadhiwa JINI wa mafanikio ( na kweli mafanikio utayaona) ila kwa akili za wengi wamepotezwa kwa kuaminishwa kuwa hio ni pete ya bahati ila si kweli ( japo zipo pete za bahati lakini nguvu yake si kubwa na si ya haraka )
 
Navyofahamu pete hii inaweza kukusaidia katika masuala ya biashara, mali, utajiri, ndoa, kazi, mahusiano, uongozi, kujikinga na wachawi, ulinzi (Kujikinga na wizi & majambazi ) nakadhalika.

Mi naitaka nitaipataje
 
Hasara ya pete ya aina hizo ni nn samsung
 
Navyofahamu pete hii inaweza kukusaidia katika masuala ya biashara, mali, utajiri, ndoa, kazi, mahusiano, uongozi, kujikinga na wachawi, ulinzi (Kujikinga na wizi & majambazi ) nakadhalika.
Sawa mama, hizo ni faida. Napenda nifaham pia na hasara zake
 
Hasara ya pete ya aina hizo ni nn samsung
Kwa zile zenye JINI utapewa tu masharti yake ( japo anayekupa hatokuambia kama hiyo ni ya jini na matokeo yake yapo haraka sana mara nyingi masharti yake ni kutoa makafara itategemea anayekupa anakupa jini wa vipi ) ila zile za bahati zenyewe hazina masharti zaidi ya kupewa rangi ya bahati yako kutegemea na nyota yako.
 
Unajua namna ya kuzipata hizo pete especialy hio ya immo ring
 
Yan kweli watu wsnatafuta bahati na mvuto. Ni kitu kibaya sana mana wengine wanadhuru watu wengine kwa sababu hiyo. Wapo ambao huenda kqa waganga ili kupata bahati wanapewa hizo pete hasa kutoka kqa waganga wanaotumia majini. Halafu wapo ambao wakikuhisi wewe una bahati wanakuendea kwa mganga ili bahati uliyonayo àambayo umezaliwa nayo waipate wao. Hii wanaita nyota kwahiyo unakuta mtu anakwenda kqa mganga ili unyang'anywe nyota yako apewe yeye. Usiombe uwe na bahati mbaya ya mtu kukuendea kwa mganga ili achukue nyota yako omba mungu isitokee maana nyota yako ikichukuliwa utateseka maisha yako yote kama hukustukia na kujikita kqa mungu. Kimsingi wanapochukua nyota wanakuacha na mikosi ya ajabu. Wanapochukua nyota yako mara nyingi huchukua na nafsi yako so wewe unabaki kuwa sio yule ambaye watu walikufahamu. Haya mambo yapo na Ni magumu unatakiwa kugundua kuwa kuna kitu umefanyiwa ili uanze kuhangaika kqa mungu urudi kama kawaida ila usipostukia basi ndo imetoka. Kuna watu wengi sana wanafanikisha mambo yao kwa kutumia nyota za watu wengine huku hao walionyanganywa nyota wakibaki katika mahangaiko makubwa. Kwakweli inaudhi sana. Mimi yamenikuta Haya mambo na yamenitesa sana. Nimejionea mwenyewe na kuna mtu alichukua nyota yangu nikaja kugundua. Mambo yake yalibadilika ghafla na mimi nikabaki na mikosi ya ajabu.huwa sitaki hata kumuona. Na akiniona ananiogopa vibaya sana. Hawa watu hawataweza kuja kuuona ufalme wa mungu hata siku moja. Biblia imeandika hivyo. Ole wao wanaosababisha mateso kqa watu wengine.

Ayubu 42;12 Naye MWENYE ENZI MUNGU akaubariki mwisho wa Ayubu kuliko mwanzo wake.....
usimchukie huyo mtu au watu walio kufanyia hivyo, kwani watavuna walicho kipanda....riziki yako kutoka kwa MWENYE ENZI MUNGU hakuna binadamu au kiumbe yeyote anayeweza kuichukua milele! waliichukuwa kwa muda tu sasa imesharudi tena kwako....trust me my friend and remain blessed!
 
Back
Top Bottom