Immagine Bongo ndo inafikia hali hii!!

Immagine Bongo ndo inafikia hali hii!!

Joined
Nov 6, 2012
Posts
35
Reaction score
5
POTD_snow_durham_2724918k.jpg
 
Watatangulia wengi sana 'Mbele ya Haki' Mkuu!
Tusiombee hili lifike Africa kabisaaaaa
 
na teknolojia yetu ilivyo ndogo ikitokea tu gafla ndani ya week watakufa wengi
 
Ndio maana Mungu akawapanga watu kijiografia kulingana na uwezo wa kumudu mazingira.
 
Wabongo bana, sasa tukiogopa changamoto tutaendelea kweli? Binafsi naona hiyo hali ikitokea wengi tutalufa, lakini wachache watakaosalimika lazima watatafuta namna ya kujizatiti. Nadhani hata huko hawakuzaliwa na kukuta hayo mazingira kama mnavyoyashangaa nyie wabongo mlioko huko. Huendas kutokana na kwamba mazingira yetu hayana changamoto nyingi ndo maana akili zetu zinafikiria wizi tu na kujirusha kwenye starehe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom