beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
hasa bishanga eti ndo ulim miss sana?jaman nimeugua ghafla coz kila nijaribiapo kuingia jf naambiwa oooh maimtainance basi nikawa sina raha nawamic wote hadi nimepungua. .nawapenda jaman n nimerudi sasa bby nasty
jaman nimeugua ghafla coz kila nijaribiapo kuingia jf naambiwa oooh maimtainance basi nikawa sina raha nawamic wote hadi nimepungua. .nawapenda jaman n nimerudi sasa bby nasty
Hahaaaa umejuaje yan mekonda mimihasa bishanga eti ndo ulim miss sana?
Umepungua kilo ngapi?dah we mtoto mpaka umenfanya nimekonda..
Umepungua kilo ngapi?
Hahaaaaa uongo huoata haziesabiki wangu
Hahaaaaa uongo huo
Tehe......kama kawaida yako mzee wa kujifagilia.comhasa bishanga eti ndo ulim miss sana?