Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,505
- 11,358
Jukwaa la uzushi ni Muhimu sanaTetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.
CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.
Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.
1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.
2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani
3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.
4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.
5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.
6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.
Maoni Yangu.
Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.
Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.
CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
Kwisha chademaTetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.
CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.
Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.
1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.
2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani
3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.
4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.
5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.
6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.
Maoni Yangu.
Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.
Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.
CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
Itapendeza sana.Akaongeze nguvu.Chaumma kinakuwa kwa kasi ya ajabuTetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.
CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.
Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.
1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.
2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani
3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.
4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.
5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.
6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.
Maoni Yangu.
Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.
Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.
CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
Tukisema chadema imekufa mnakomaa eti haijafa. Sasa chaumma inawatisha nini nyie chadema wakati mnenda kuzuia uchaguzi?Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.
CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.
Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.
1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.
2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani
3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.
4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.
5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.
6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.
Maoni Yangu.
Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.
Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.
CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
Ushindi wa 51.5/% vs 48.3 ndiyo kushindwa vibaya!?Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.
do strong contender wa SamiaHii nchi ina mambo ya ajabu sana
Kama sio ushindi wa kishindo ,muulize maumivu aliyopata Mbowe😁Ushindi wa 51.5/% vs 48.3 ndiyo kushindwa vibaya!?
Aisee!
Si mfurahi Sasa Chadema imekufa😁Tukisema chadema imekufa mnakomaa eti haijafa. Sasa chaumma inawatisha nini nyie chadema wakati mnenda kuzuia uchaguzi?
Hahahaa. ......yaani mpaka nachekaTetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.
CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.
Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.
1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.
2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani
3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.
4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.
5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.
6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.
Maoni Yangu.
Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.
Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.
CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
Kabsa maana nyomi la John Mrema si la nchi hiiItapendeza sana.Akaongeze nguvu.Chaumma kinakuwa kwa kasi ya ajabu
MnoUshindi wa 51.5/% vs 48.3 ndiyo kushindwa vibaya!?
Aisee!
HahahahaKabsa maana nyomi la John Mrema si la nchi hii