Imetokea umemkanyaga !

Mi namchuna ngozi kwa ajili ya mabegi, mkanda, na viatu....nyama naenda uza baa kwani haina madhara.
 
mkuu
utafiti wanasema huyu hanaga sumu ni kweli?
_na yule kubwa lao anakonda naye hana sumu?
 
Last edited by a moderator:
alafu swali la mwisho hawa wazungu wanavyowakamua hawa nyoka sumu kwenye glass huwa inakuwa imeisha kwenye miili yao au inajuzalisha tena na hiyo sumu wanafanyia nini?
_
 
Sumu anakuanayo mkuu, ile ndio silaha yake yakupambana na adui yake
 
Last edited by a moderator:
alafu swali la mwisho hawa wazungu wanavyowakamua hawa nyoka sumu kwenye glass huwa inakuwa imeisha kwenye miili yao au inajuzalisha tena na hiyo sumu wanafanyia nini?
_

Cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
mkuu
utafiti wanasema huyu hanaga sumu ni kweli?
_na yule kubwa lao anakonda naye hana sumu?

Hawana sumu ila haki kumata utasem bora unge ngatwa na mwenye sumu
 
Last edited by a moderator:
alafu maajabu mengine kuna nyoka anazaa na kuna wengine wanataga mayai
_niliona animal planet
 
nikianza kumkanyaga nitakuwa nimeshajikojolea nakata roho
 
huyo dawa yake moja tu ukimkanyaga unamalizia kumsiliba kabisa kwa mguu wako
 
natamani
MziziMkavu apite huku atoe ufafanuzi wa maswala yangu hapo juu
 
Last edited by a moderator:
alafu swali la mwisho hawa wazungu wanavyowakamua hawa nyoka sumu kwenye glass huwa inakuwa imeisha kwenye miili yao au inajuzalisha tena na hiyo sumu wanafanyia nini?
_

Wanatengeneza kinga kwa watakao ng'atwa na nyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…