Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
..Natambua kwamba wasomaji wengi wamekuwa wakitoa maneno ya kejeli, matusi dhidi ya wale wote wanaojaribu kuonyesha kuwa Babu wa Loliondo hana uwezo wa kutibu maradhi sugu. zimeandikwa thread zikinakili mafunisho ya vitabu vya dini nk lakini bado suala hili limekuwa lenye mabishano makali.
Mimi natakata tujiulize/tutafakari kwanini taarifa kama hizi hatuzisikii sana kwenye vyombo vya habari na mijadala inayoendelea?.......Kwasasa tujadili na kutafakari hayo machache nitarudi tena.
- Kwamba halmashauri ya wilaya ya ngorongoro imekuwa ikikusanya zaidi ya Sh. Milioni mia moja kila mwezi kama ushuru wa magari, pikipiki zinazoingia kijijini Samunge
- Kwamba zinapokelewa maiti kati ya 10 hadi 15 kwa wiki zinapokelewa katika vituo vya afya jirani na kijiji cha Samunge (Wasso, digodigo)
- Kwamba hali ya usafi ni ya kusikitisha kukiwa hakuna hata choo kimoja kilichojengwa na halmashauri AU BABU MWENYEWE, licha ya mamilioni yanayokusanywa kila siku
- Kwamba hospitali mbalimbali za mkoa wa Arusha zimekuwa zikipokea wgonjwa mahututi amabao waliacha matubabu yao na kueleza kuwa wamekunywa kikombe na wamepona
- Kwamba safari moja ya kwenda kijijini humuingizia mmiliki wa gari shs 850,000 hadi 1,000,000 kwa safari ya kwenda na kurudi
Hi all.
I have done some quick study to ascertain myself if kikombe cha babu works or
not. Kinemo and Mercy sent us some literature to go through and by doing that,
it came to my understanding that this plant contains for ingredients namely
carissol, lupeol, amyrin and oleuropein.........................
Hebu jiulize, Wewe na Mjengwa ni nani yupo sahihi?Mjengwablog imeelezea kuwa NTV ilioji madaktar wa arusha na wakasema wagonjwa wamerud hoi ospitalini.
Lakin hukutaja kuwa kuna madaktari wengine waliojiwa wakasema wao wamepona..
Mi kuna mama ambae namfam alikua na serious matatizo amepona..
Na kuna wengine nawajua hawajapona. Hivyo hapo ni kujijengea imani tu.. Na sio kama mjengwa kuelezea kwa kuihusisha serikali
Ahahaaah!! Makamba na Rostam! No. NoMawazo yako ukiyachanganya na ya Rostam na Makamba.Mgao wa umee kwisha.
Babu is there to prove his critics wrong . This is a miracle from God, which was reveled to the old man who knows nothing about carissol, lupeol, amyrin and oleuropein.
Nashauri babu aendelee kutoa dawa , nanyi wanasayansi mmsauport maana mkitengenza ninyi haitafaa . mtachakachua. Lazima mjiuluze kwa nini Mungu hakuwafunulia MGT wote ulimwenguni akamfungulia mzee mchungaji mstaafu ambaye hadi kumfikia lazima uwe umetubu dhambi zako zote?
Babu is there to prove his critics wrong . This is a miracle from God, which was reveled to the old man who knows nothing about carissol, lupeol, amyrin and oleuropein.
Nashauri babu aendelee kutoa dawa , nanyi wanasayansi mmsauport maana mkitengenza ninyi haitafaa . mtachakachua. Lazima mjiuluze kwa nini Mungu hakuwafunulia MGT wote ulimwenguni akamfungulia mzee mchungaji mstaafu ambaye hadi kumfikia lazima uwe umetubu dhambi zako zote?
ila kwa mtazamo mwingine nadhani babu alisema ya kwamba ameoteshwa ili tu kushikilia copyright
si Kweli kuwa ameshikilia copyright mbona ameonesha wapi dawa inatoka!