Na bado watazinduka wengine kudai mizizi imewatuma au maruweruwe wamewatuma.
Tumeona wengine "wakitumwa" na Dokta wa kanono Silaa, kwenda kujiangamiza kwa kuwa watapatiwa Simenti ya elfu tano na maisha bora kwa kufumba na kufumbuwa.
Hata hawatazami huyo anaewaambia ana maisha yepi? Na yana ubora upi?
1) Mwenyekiti anadaiwa.
2) Mgombea aliebobea (Daktari) mwenye kuzijuwa sheria za kanoni anaenda kinyume kabisa na hizo sheria: a) kwa kuoa akiwa padiri b) kwa kuongeza mke c) ambae hajaachika kwa mume wa kwanza na anaishi nae kama kimada kwa sheria za kanoni.
Hivyo ndivyo tulivyo. "Wajinga ndio waliwao".
"Reality" huwa hawaioni, hawaisikii wala hawataki kuiona wala kuisikia. Inashangaza kwa wenye kuona.
Tunaongelea ya Mbeya mkuu! Hata kama wewe ni mpumbavu usioinyeshe upumbavu wako hapa.
Please try not to post nonesence. you are letting this forum down buddy.
Nimeishiwa na maneno ya kuandika baada ya post yako. Nitakurudia baadae!! Hata ww unaapost pumba kama hiyo uliyoandika. Kweli wanaJF tuna kazi kwelikweli!!!!Tumeona wengine "wakitumwa" na Dokta wa kanono Silaa, kwenda kujiangamiza kwa kuwa watapatiwa Simenti ya elfu tano na maisha bora kwa kufumba na kufumbuwa.
Hata hawatazami huyo anaewaambia ana maisha yepi? Na yana ubora upi?
1) Mwenyekiti anadaiwa, kapata mwanya kidogo kaanza kuchota mali ya umma hataki kuirudisha, jee akipewa nchi? Hatuyaoni haya.
2) Mgombea aliebobea (Daktari) mwenye kuzijuwa sheria za kanoni anaenda kinyume kabisa na hizo sheria: a) kwa kuoa akiwa padiri b) kwa kuongeza mke c) ambae hajaachika kwa mume wa kwanza na anaishi nae kama kimada kwa sheria za kanoni. Hatuyaoni haya.
Hivi hawa wakipewa waendeshe nchi, itakuwaje? Jibu: chota mali za umma na kula sheria za "kanono".
Hivyo ndivyo tulivyo. "Wajinga ndio waliwao".
"Reality" huwa hawaioni, hawaisikii wala hawataki kuiona wala kuisikia. Inashangaza kwa wenye kuona.
Ndugu Zangu,
JANA usiku muda mfupi kabla ya taarifa ya habari, TBC1, kulikuwa na mahojiano ya mwandishi wa TBC na Babu wa Loliondo.
Kati ya aliyoyaongea, Babu anasema, kuwa Mungu ndiye aliyepanga bei ya tiba ya kikombe iwe shilingi mia tano. Kuwa alimwonyesha mia tano! Na Mungu akamwambia wageni walipe dola moja!
Tafsiri yangu;
Pamoja na kuwa mwandishi hakumuuliza Babu maswali magumu, bado Babu wa Loliondo hakunisogeza hata hatua moja kutoka kwenye msimamo wangu. Kuwa tiba ya Babu ni Abrakadabra.
Tujiulize swali moja tu; hivi Mungu huyo ni Mungu gani anayebagua waja wake. Kuwa wengine walipe mia tano na wengine dola moja?
Jamani, hivi Mungu huyu wa Babu wa Loliondo naye anafuatilia exchange rate kila siku? Itakuwaje basi, shilingi ikipanda au kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani? Babu itabidi aoteshwe haraka ndoto nyingine ili abadilishe bei ya kikombe!
Na kwenye taarifa ya habari iliyofuatia ikaripotiwa, kuwa Serikali imeshindwa kutoa tamko jana juu ya tiba ya Babu kwa vile Babu amesema kamati iliyoundwa iende kwanza Loliondo!
"Mnajua tena mambo haya ya imani!" Alitamka mwanakamati mmoja kwenye TBC1. Na leo imeandikwa kwenye gazeti moja, kuwa Serikali itatoa tamko leo juu ya tiba ya ' Babu'.
Naam. Tamko hili liharakishwe kutolewa kabla ' Babu' hajaoteshwa ndoto, kuwa ' Tamko Lisitishwe hadi itakapotamkwa tena!'. Na nani? Fikiri mwenyewe.
Si ilipata kusemwa, kuwa kila kukicha, kuna kioja kinazuka kutoka Afrika!
Maggid
Iringa,
Jumapili, Machi 27, 2011
MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo
Sitak kuamin kwamba maggid uwezo wa kufikiri ni mdogo. BABU ameoteshwa mia tano kwa kuwa ni hela ya Kitanzania ambayo kila mtz anaiweza kuipata awe maskin au tajiri. na khs 1USD hiyo ni currency maarufu dunian kote na inajulikana kila mahali. Tatizo lako ulitaka BABU aoteshwe Currency za kutoka UARABUNI ndo ungerizika na kuamin kama hutak kuamin kaa kimya waache wenye iman wakatibiwe, SHEIKH YAHYA YUPO KUWATIBU WATU KAMA NINYI BABU HANA MAJIN MAIMUNA.
Ndugu Zangu,
JANA usiku muda mfupi kabla ya taarifa ya habari, TBC1, kulikuwa na mahojiano ya mwandishi wa TBC na Babu wa Loliondo.
Kati ya aliyoyaongea, Babu anasema, kuwa Mungu ndiye aliyepanga bei ya tiba ya kikombe iwe shilingi mia tano. Kuwa alimwonyesha mia tano! Na Mungu akamwambia wageni walipe dola moja!
Tafsiri yangu;
Pamoja na kuwa mwandishi hakumuuliza Babu maswali magumu, bado Babu wa Loliondo hakunisogeza hata hatua moja kutoka kwenye msimamo wangu. Kuwa tiba ya Babu ni Abrakadabra.
Tujiulize swali moja tu; hivi Mungu huyo ni Mungu gani anayebagua waja wake. Kuwa wengine walipe mia tano na wengine dola moja?
Jamani, hivi Mungu huyu wa Babu wa Loliondo naye anafuatilia exchange rate kila siku? Itakuwaje basi, shilingi ikipanda au kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani? Babu itabidi aoteshwe haraka ndoto nyingine ili abadilishe bei ya kikombe!
Na kwenye taarifa ya habari iliyofuatia ikaripotiwa, kuwa Serikali imeshindwa kutoa tamko jana juu ya tiba ya Babu kwa vile Babu amesema kamati iliyoundwa iende kwanza Loliondo!
Mnajua tena mambo haya ya imani! Alitamka mwanakamati mmoja kwenye TBC1. Na leo imeandikwa kwenye gazeti moja, kuwa Serikali itatoa tamko leo juu ya tiba ya ' Babu'.