Imetokea kweli, japo bado siamini...

Imetokea kweli, japo bado siamini...

mnaabudu nini...kiti?
Kiti?? Kiti wanakimbia, tunakula kitimoto kanisani, pia kuna maombi mazito sana yanafanyika, hata kama ulikuwa na mafua yanakauka.
Sasa kwa maombi hayo huyo kiti atakaa wapi?
Muulize Mwita Maranya na mwaJ, walikuja na kiti, eti Mwita Maranya anasema yeye maimuna, halafu anaongea kiarabu, mbona kiarabu kiliisha na kiswahili akakisahau akaanza kuongea kikurya kitupu?
Kanisani kwetu tuna Restore data za kiroho, karibu ukemewe wewe na kiti wako nawe utawekwa huru, nawe utakuwa huru kwelikweli
 
Last edited by a moderator:
niliikuta hii kwenye archives zetu!
did yu think i randomly choose her???
aipate wapi hiyo bahati ya kuwa mentioned na firm ya ukweli kama hii!yani hivi hivi tu bila kuwa na interest mahali!
do yu think siitaki the white christmas followed by the white valentine!
ahahhahahah yu better re read my profile buddy!
nothing is going to be left unturned!

lol....
 
Kiti?? Kiti wanakimbia, tunakula kitimoto kanisani, pia kuna maombi mazito sana yanafanyika, hata kama ulikuwa na mafua yanakauka.
Sasa kwa maombi hayo huyo kiti atakaa wapi?
Muulize Mwita Maranya na mwaJ, walikuja na kiti, eti Mwita Maranya anasema yeye maimuna, halafu anaongea kiarabu, mbona kiarabu kiliisha na kiswahili akakisahau akaanza kuongea kikurya kitupu?
Kanisani kwetu tuna Restore data za kiroho, karibu ukemewe wewe na kiti wako nawe utawekwa huru, nawe utakuwa huru kwelikweli


Simaanishi kiti pepo au majini!!!!
namaanisha kiti chair!!!
hujawahi kuona mchungaji wenu wa pale naniliu karibu na stendi ya matatu...before kuanza ibada anasaaaali na kulia na kuomba mbele ya kiti!?!?! kile kiti unajua kimekaliwa na nani?!?!?
 
Hapo kwenye red mashallah

sio bure unahitaji maombi weye, jamani kama kuna wachungaji humu wa kanisani waje wampige pawa huyu EMT kuna pepo fulani kampagawa.
 
Last edited by a moderator:
Kiti?? Kiti wanakimbia, tunakula kitimoto kanisani, pia kuna maombi mazito sana yanafanyika, hata kama ulikuwa na mafua yanakauka.
Sasa kwa maombi hayo huyo kiti atakaa wapi?
Muulize Mwita Maranya na mwaJ, walikuja na kiti, eti Mwita Maranya anasema yeye maimuna, halafu anaongea kiarabu, mbona kiarabu kiliisha na kiswahili akakisahau akaanza kuongea kikurya kitupu?
Kanisani kwetu tuna Restore data za kiroho, karibu ukemewe wewe na kiti wako nawe utawekwa huru, nawe utakuwa huru kwelikweli

Hivi wewe Bujibuji wivu wako haujaisha tu? Maana kila unapoenda unatutaja tena unapenda kutusingizia uongo!
 
Last edited by a moderator:
Simaanishi kiti pepo au majini!!!!
namaanisha kiti chair!!!
hujawahi kuona mchungaji wenu wa pale naniliu karibu na stendi ya matatu...before kuanza ibada anasaaaali na kulia na kuomba mbele ya kiti!?!?! kile kiti unajua kimekaliwa na nani?!?!?

A very good question Paloma
 
Last edited by a moderator:
unataka kusema na mimi nijisolumetishe kwa kibabu kimoja!
yani nijibebisitishe???
ngoja Kaunga aje hapa anipe mapwenti !

shida ya humu mpenzi ni ngumu kujua kibabu yupi na mwenye baby teeth ni nani; hukawii kubebisiti badala ya kubebisistiwa! LOL
mimi The Boss alinidanganya kunibebisiti nimeanza ona dalili za kumbebisiti, ngastuka!
 
Last edited by a moderator:
shida ya humu mpenzi ni ngumu kujua kibabu yupi na mwenye baby teeth ni nani; hukawii kubebisiti badala ya kubebisistiwa! LOL
mimi The Boss alinidanganya kunibebisiti nimeanza ona dalili za kumbebisiti, ngastuka!


Kweli kabisa, JF ni zaidi a movie tena zile za akina Joti na Mpoki...

Unaambiwa mtu kikongwe kumbe bado anaweza kwenda labour room hata mara kumi akikutana na mtambo wa kutotolesha...lol

Isipokuwa tupo wachache sana ambao kweli tumestaafu...

Cc: @FP, gfsonwin, Smile, snowhite, Kongosho...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom