Imetimia wiki sijapiga punyeto

Imetimia wiki sijapiga punyeto

Mwananchi hewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
226
Reaction score
275
Ni kama mzaha ila baada ya miaka zaidi ya kumi jana nimetimiza wiki moja bila ya kupiga punyeto ila ni kwa sababu nimeamua kwa dhati kabisa ili nipate heshima katika mapenzi
Na kusema kweli kuacha ni kama mvutaji wa sigara maana mara nyingi unasema mwisho leo lakini unaendelea japo hupendi
Niwaambie wenzangu wanaendelea mpaka sasa wafanye maamuzi ya dhati ya kuacha
Nikitimiza mwezi mmoja nitaleta mrejesho kama nimeweza au bado nataka mpaka mwezi mmoja upite bila ya kugegeda wala kupiga punyeto
Maswali yangu je nguvu zangu za kiume zitarudi
 
nguvu zinarudi mara tatu ya ambaye si mpigaji wa puchu...maana mwili alikuwa umezoea ku export mbegu nyingi na kutoa kila siku...saiz itazalisha kwa kasi mbegu halafu utoaji hafifu kwaio utakua ukilala na demu umimwaga bao ujazo mwingi...
ila nyege ziki kupanda akili huwa haitulii kabisa..mpaka ugonge kama hauna kademu 911 ka fasta lazima utapiga tena
 
Back
Top Bottom