Imetimia mwisho wangu!

Pole, nini haswa kimekusibu ndugu? Ungeweka wazi pengine unaweza kupata msaada, tafadhali usifanye hivyo unavyofikiria kufanya, wewe bado ni mtu muhimu sana na unategemewa, changamoto unazopitia ni za muda mfupi tu
 
Kabla hujafanya hivyo ,Toa Taarfa Mahali ulipo sasa/Makazi,
Kata/Kijiji na Wilaya/Mkoa wako.
Bila kusahau Jina lako kamili..
Usisahau tuwekee namba ya simu inasoma jina nani Turushe rushe vichenchi vyetu .Kwenye line hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…