Imeshawahi kukutokea hii (NAOKOKA GUEST)????

Imeshawahi kukutokea hii (NAOKOKA GUEST)????

Tom_Mbayeye

Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
15
Reaction score
17
Umeenda Nyumba ya Kulala Wageni mgeni wako (Mchepuko) Umeshatangulia uko room no 103 kufika jamaa wa mapokezi anakufahamu vizuri anakuuliza Mkeo/Mumeo hawajambo? Mtoto nae?

Niambie ungefanyaje?
adellatillya-20180807-0001.jpg
 
Nitabadilika hapo na kumwambia mmeo juzi tulikuwa nae hakika ni Malaya sana na muda huu yupo Palestina Bar na Kimada kama huamini nenda.
 
nishawahi kupishana na watu wanne ninao wafahamu siku moja. siku ya sikukuu na gesti ya kalibu ilikuwa hiyo. nyingine iko umbali mrefu. dah ilikuwa nomaaa
 
Wakati fulani katika kuishi kwako kuna watu walikutania kwa kuliunganisha jina lako lote.

Nahisi hivyo
Yes ila nimekubalina na yote 7bu wazazi wangu wamenipa jina la Tom na baba jina lake mbayeye
 
Niliwahi enda lodge nimelipia demu hakuja, wkt nimelipia, nikamuomba dada mpangishaji snipe kidogo nichangamshe damu, alikomaa naye lkn mwishoni akanirusha na moja, nikaunga mbili mumomoooo
Siku hz siwezi tena, ila alinipa raha sana
 
Tatizo unapiga nyeto sana kijana acha ndio maana now days umeshuka kiwango
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom