Imeokotwa


waganga wengi ni watu wa saikolojia sana. Jamaa bila shaka kaambiwa apige mzigo kama punda
 
Naiomba mimi aisee, kuna demu ananisumbua sana......



Asante sana mkuu nilikuwa sijacheka siku nzima leo,hii picha kimenikumbusha kisa cha mrembo mmoja kudondosha mkoba wa mganga ndani ya daladala kisha tunguli zikamwagika.....
 
Hapo Lazima Milioni kadhaa zimemtoka, na Ku-iservice kila wakati gharama kibao.
 
Natumai huyu bwana aliyedondosha hii kitu atakuwa kayumba sana kiuchumi kwa sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…