Imeniuma sana

Imeniuma sana

Wakuu i hope mko poa ..
Nilikuwa napiga story za hapa na pale na baby akaniambia kuna mshikaji mwanachuo anamtongoza na kumtumia pesa kilichoniuma ni kwamba anadai mshikaji ni mzuri kuliko mimi, wakuu hapa nina changu au nijikatae mapema maana km mm simvutii na sitoagi pesa zaid ya kulipia msosi na lodge.
Muache tu aende amekudharirisha
 
Kwahiyo wanaume wawili mnashindania kuonekana wazuri kwa dada anayesoma certificate 😁😁😁😁😁.
 
Back
Top Bottom