Imeniuma sana

Imeniuma sana

Kuna watu mna moyo, kama UMEPEKECHA pita hiviii mwambie abaki naye
Wakuu i hope mko poa ..
Nilikuwa napiga story za hapa na pale na baby akaniambia kuna mshikaji mwanachuo anamtongoza na kumtumia pesa kilichoniuma ni kwamba anadai mshikaji ni mzuri kuliko mimi, wakuu hapa nina changu au nijikatae mapema maana km mm simvutii na sitoagi pesa zaid ya kulipia msosi na lodge.
 
[
Hapo hauna mwanamke. Anza kutumia condom
Hahahaa demu keshaliwa sio

Amekupemdea hiyo sura yako mbaya ndio maana yupo nawe... Anataka kukutia wivu tu kwenye hilo
Aaah sio kweli mi mwenyewe demu wangu aliwahi kuniambia Sura yangu afadhali ya Remmy Ongala.. Soon Nikachezwa.. sahivi yupo na mwana mwingine

Kula Boom kwanza la uyo boya.. Kua master minder then usi sahau kinga[emoji23]
Hahaa demu atampa??

Let her go
Amto.mbe sana kabla ya hapo.. ikiwezekana amfire kabisa
 
Ungekuwa mwanaume kamili asingeweza kuongea upuuzi kama huo mbele yako.

Wanawake ndio wanagombania uzuri sasa sijui wewe nini kinakuuma.
 
Jiongeze mapema bro. Tayari ameshaanza kuvutiwa na huyo jamaa.
 
hujaijua saikolojia ya wanawake kumbe....pengine umri wako,..bado mdogo....ila kiufupi wanawake huwa hawaonyeshi dalili za kukupenda .... na ukiona amekuonyesha dalili za kukupenda haraka haraka ujue anakuibia....ila anaye kupenda kwa dhati lazima atakuwekea uzio mfano...unaweza kumuuliza unapenda mwanaume wa aina gani...mwanamke akakujibu sifa za mwanaume ambae wewe huna sifa hizo pengine akakwambia anataka mwanaume mwenye kifua hali ya kuwa wewe huna kifu...au akakwambia anapenda mwanaume mfu hali ya kuwa wewe ni mrefu...

kwa kifupi lazima uwaelewe wanawake kuwa ni watu ambao wanafanya kitu ili kukuangalia au kukupima kuwa kweli una moyo wa kiume..? sasa mzee umetegwa kidogo umetegeka...hapo unaweza ukaachwa usipokuwa makini...!
 
Duuuh
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]mkuu keshaliwa teyar huyo aiseee anakuzuga tu hapo nawe chapa sepa usifukue makaburi ya wenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmechapa sana miaka miwili imepita
 
Amekupemdea hiyo sura yako mbaya ndio maana yupo nawe... Anataka kukutia wivu tu kwenye hilo
Alaf m HB ata ww apo ukiniona utatamani nikupige mti sema labda upande wa pesa ndo shida kidogo
 
Mnatuonea sana watu wa dar
Watu wa dar bwana! mnaanza hivi kama utani halafu mwisho wa siku utasikia "ATIWA MBARONI KWA KUMCHOMA MPENZI WAKE KWA GUNIA MBILI ZA MKAA"
 
Uzuri we mwanaume unautaka wa nin? Kama Upo kwenye kweny mashindano ya ulimbwende, hapo sawa!

Umejilinganisha na Remi ongala kweli? Sijui kama unamfahama Remi ongala! Mtafute half ujilingamishe naye!
Remmy ongala huyo kiboko
 
[

Hahahaa demu keshaliwa sio

Aaah sio kweli mi mwenyewe demu wangu aliwahi kuniambia Sura yangu afadhali ya Remmy Ongala.. Soon Nikachezwa.. sahivi yupo na mwana mwingine

Hahaa demu atampa??

Amto.mbe sana kabla ya hapo.. ikiwezekana amfire kabisa
🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
Back
Top Bottom