Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,816
- 22,982
Kwani uzuri upo wa aina ngapi au ukiulizwa utamu upo wa aina ngapi, wewe utajibuje?[emoji13][emoji13]Na hapo kwenye uzuri nitajirekebisha vp sasa
Kwani uzuri upo wa aina ngapi au ukiulizwa utamu upo wa aina ngapi, wewe utajibuje?[emoji13][emoji13]Na hapo kwenye uzuri nitajirekebisha vp sasa
Huna chako hapo mkuu lazima aliwe tu utake usitake apo anakudanganya tuSaiz kapo mkoani
Pesa pesa pesa yani ukishindwa mhudumia mwanamke wako akapata penye ahueni atakukimbia tuNahisi alichokuwa anamaanisha ni external appearance
Wakuu i hope mko poa ..
Nilikuwa napiga story za hapa na pale na baby akaniambia kuna mshikaji mwanachuo anamtongoza na kumtumia pesa kilichoniuma ni kwamba anadai mshikaji ni mzuri kuliko mimi, wakuu hapa nina changu au nijikatae mapema maana km mm simvutii na sitoagi pesa zaid ya kulipia msosi na lodge.
Ndio ivo kutesa kwa zam ulimkwapua kwa wa form six kaibiwa na wa chuo [emoji23][emoji23][emoji23]tena si ajab zayoni nakushauri tafuta mpunga tu ndio suluhisho lasivyo kaa pembeni.Ata mm nilimnyang'anya mshikaji aliyekuwa nae dogo alikuwa form six nahis yamenikuta
Ha ha ha m ni HB mbona sema aliyenicompare nae kanizid pia ata km ningekuwa black mamba asingenikubali nimtafune miaka miwili yote
Mapenzi na shule haviendani. Subiri ukue.Wakuu i hope mko poa ..
Nilikuwa napiga story za hapa na pale na baby akaniambia kuna mshikaji mwanachuo anamtongoza na kumtumia pesa kilichoniuma ni kwamba anadai mshikaji ni mzuri kuliko mimi, wakuu hapa nina changu au nijikatae mapema maana km mm simvutii na sitoagi pesa zaid ya kulipia msosi na lodge.
Kwahiyo wewe ni mzuri?Wakuu i hope mko poa ..
Nilikuwa napiga story za hapa na pale na baby akaniambia kuna mshikaji mwanachuo anamtongoza na kumtumia pesa kilichoniuma ni kwamba anadai mshikaji ni mzuri kuliko mimi, wakuu hapa nina changu au nijikatae mapema maana km mm simvutii na sitoagi pesa zaid ya kulipia msosi na lodge.
Jipodoe. Paka poda[emoji13][emoji13]Na hapo kwenye uzuri nitajirekebisha vp sasa
Ndio mfariji fariji. Lakini ajue tu tayari lile jamaa likagonga.Amekupemdea hiyo sura yako mbaya ndio maana yupo nawe... Anataka kukutia wivu tu kwenye hilo
Ameshindwa kujua ujumbe unafikishwa kwa mtindo huoAnataka ujirekebishe... Mwaga pesa km hamna kesho
Uzuri unafidiwa na pesa,,, sasa we vyote huna[emoji13][emoji13]Na hapo kwenye uzuri nitajirekebisha vp sasa
tena ziwe 2, na ziwe rough riderHapo hauna mwanamke. Anza kutumia condom
[emoji23][emoji23]yan jamaa yupo chuo anataka serious relationship??Uzuri unafidiwa na pesa,,, sasa we vyote huna
Hahahahahhaha baharia kwenye ubora wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yan jamaa yupo chuo anataka serious relationship??
Hapo aendelee kupiga tu kumaliza nyege zake wala asimweke demu akilini,
Daaa itamchukua mda sana jamaa kua malaya aisee