Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Achana nae Mkuu.. Fanya yako kamanda..Misambwanda mbona kibao tu..dogo asikuumize kichwa.. atakua tu.
 
Kila siku mnaambiwa usimsomeshe mwanamke asiye ndugu yako hamsikii
Hao huwa wanafuata ile ukimsomesha mwanamke umeisomesha jamii nzima hapo ndugu goma liteme tu na hivi mahari hujalipa mtu anakueleza waziwazi kuwa atagongwa vizuri mna nini tena hapo?
 
wanawake wanaumiza xana jamani, hapa nimekata shauri kwamba sitakuja kuoa kutokana na kisa kilichonitokea. ivi unavyoongea kama najiona mm kaka. ila nilikuwa na kauli moja baada ya kuwaza xana kuhusu ilo jambo nilikuwa najipa moyo kwa kujisemea mm n mwanaume na haya ni mapito tu! mpaka leo naish kwa aman tu. tukiacha hayo dada angu miaka mitatu kwenye uhusiano katambulishwa kila mahali garama nyingi mchizi katumia mwisho wake kirahis rahis tu ebana ee aachane na mm. tuishi nao lakin kwa akili
 
Hii aina ya usaliti huwa haina second chance, piga chini... Lea mtoto wako,then taratibu muda ukifika utapata anayejua thamani yako... Najua itauma na inauma kweli kweli hamna zaidi ya kupiga chini...
 
Mwanamke unampata mwanaume anayekupenda kwa dhati unachezea shilingi chooni kwenye tundu? Bahati hizo tumezikosa walahi. Wenye nia na upendo wa dhati tunapata matapeli na mafala. Waliokubuhu wanapata wanaume real man. God you are not fair.
 
Pole sana kijana, Bwana akuongoze nini cha kufanya. Narudia tena pole kwa matatizo unayopitia.
 
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.

In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi yametufanya tuwe mbali kidogo lakini nmekuwa najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbali sana(sisi ni watu wa Kanda ya Ziwa ki-makazi lakini sio kwetu).

Tatizo limekuja kuna tetesi nilipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee mmoja mwenye umri wa miaka 46. Mbaya zaidi ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwishatalakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita.

Chanzo cha wao kukutana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi huyo mzee akamchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo ukaanzia apo mzee kamrubuni mke wangu kuanza kutoka nae.

Kama mwanzo nilivoeleza, dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nikapuuzia sababu huwa na tabia ya uchonganishi pia huwa mahusiano yetu sio mazuri.

Nilichoamua nikafanya uchunguzi mwenyewe kwa njia zangu ninazozijua nikagundua ukweli. Mimi ni mtu wa IT basi nakaja kugundua hata baadhi ya vitu kama simu, camera, mavazi na pesa mke wangu analeta huwa vinatoka kwa huyo mzee maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu.

Basi tumeenda hivo lakini ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia akaanza kuninyima sex anadai simfikishi wakati namjua vzuri na huwa namfkikisha, kwa hilo sina shaka hata tone.

Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.

Muda huu na andika post hii mke wangu yupo Dar, nimemuuilza yupo kwa nani hasemi. Nimeumia sana ikabidi niongeee na mama mkwe nikamueleza situation. Akampigia simu mwanae, kilichofuata akanitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua sana nafsi yangu.

Namnukuu "Unampigia simu mama akusaidie nini?, kama nato** si mimi wewe inakuhusu nini? Na nakuapia lazima nit**we huku ili utulie."

Imeniuma sana mpaka sasa moyo wangu umefunga siwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mimi asingekua hapo alipo leo" Nimejizuia sana kulipa kisasi nimeshindwa ukizingatia familia yao nimeibeba sana kwa mambo mengi.

Nikumbushe kitu, ukwel ni kwamba nilikuwa sijatoa mahari mpaka sasa ingawa tuliishi nae kama mke na mume. Lakini mpango ulikua mwezi huu na nilikua nimekwisha andaa kila kitu. Hata nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazee.Nina mengi nimeyaruka kuyaeleza maana mimi si mwandishi mzuri. Natamani ningemsimulia mtu aandike.

Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.

Asanteni

Kama hujapigwa limbwata naamini utamwacha fasta
 
Mwanamke unampata mwanaume an any lend a kwa dhati unachezea shilingi chooni kwenye tundu? Bahati hizo tumezikosa walahi. Wenye nia na upendo wa dhati tunapata matapeli na mafala. Waliokubuhu wanapata wanaume real man. God you are not fair.
pole sana dada ipo siku Bwana atakupa real man ila jiandae kiakili maana real man wengi sio wanamitindo wala hawana six packs, wakati flani kama upo kidunia huwezi kuishi naye.
 
pole sana dada ipo siku Bwana atakupa real man ila jiandae kiakili maana real man wengi sio wanamitindo wala hawana six packs, wakati flani kama upo kidunia huwezi kuishi naye.
Asante sana. Inshalah na neno lako litimie. Niko simple sana na ninahitaji simple man mwaminifu tu na anayejituma kutafuta kimaisha. Nothing else. At the same time sitafuti Fundi wa kitandani maana hatutakula hicho kitanda.
 
Wewe si ulishaambiwa kuwa humrizishi??

Pia sex si huwa anakunyima??

Kakuapia lazima ato*****huko jiji la mwendokasi si ndio??

Mkuu wewe ulishapigwa kibuti siku mingi sema hujiongezi unajidai unajua kupendaa.

Kwanza ulitumia IT gani kumgundua ana kucheat? Ushauri wangu jiongeze lea mtoto tafuta anaerizika na wewe huyo sio saiz yako waachie wanaume wa darslam wafanye yao.

Pia ukipata buda na wewe jisomeshe zaidi kwa Hasira.
Duh nafikir hili halo neno sometimes no better ku let go kuliko kuwa ruba yanauma sana haya mapenzi day
 
Asante sana. Inshalah na neno lako litimie. Niko simple sana na ninahitaji simple man mwaminifu tu na anayejituma kutafuta kimaisha. Nothing else. At the same time sitafuti Fundi wa kitandani maana hatutakula hicho kitanda.
Maneno adhimu the real definition of a woman mind wow
 
Mwanamke unampata mwanaume anayekupenda kwa dhati unachezea shilingi chooni kwenye tundu? Bahati hizo tumezikosa walahi. Wenye nia na upendo wa dhati tunapata matapeli na mafala. Waliokubuhu wanapata wanaume real man. God you are not fair.
Mhh mi sifikir God is not fair kila unayekutana nae may be anaweza kuwa no baraka na pia ni funzo mungu hakupi unachotaka anakupa unachodeserve
 
Hapo bado unataka nini wakati mungu ameshakuonyesha?
Tafuta mtu wa kulea mtoto tu mengine fanya kama ni upepo uliopita
 
Back
Top Bottom