Habari ndio Hiyo.wewe ni wa kudharau tu basi IQ yako ndo shida
Wewe boya nakwambia.kwahio ww umeona dar ni mjin saana?
Pole, ni part ya life yako nw. Ni ww utakayeamua nn ufanye. That's satanic work tu, just relax tu kama wiki hivi. Fanya kama hujaumizwa na matusi yake, omba kwa ajil yake. Send her gud SMSs every night.
Tafuta sehemu nzuri tulivu, ili kupumzika kutokana na stress ulizonazo nw. I'm sure baada ya muda atajutia makosa yake, be ready kumusamehe..
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3]Kila siku mnaambiwa usimsomeshe mwanamke asiye ndugu yako hamsikii
kwahio ww umeona dar ni mjin saana?
Yaani huu ndo ushauri pekee unaitwa golden advicekuna mda linaniijia hilo wazo nataka nae asikie uchungu
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.
In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi.................................. imekatwa.......................................................
Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.
.........................................................imefupishwa.........................................................
Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.
Asanteni
Ajamuoa weweee! Ni hawalaMpige talaka tafuta mwingine.