ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,144
- 50,841
Kama Serikali Kuna mahala inafeli sana. Tanzania sisi tuna timu 2 Maarufu za Simba na Yanga Afrika nzima ambapo Kwa kofua hiyo ilitakiwa Serikali na TFF itumie ku lobby Ili Makao Makuu ya Taasisi hizi za Kimataifa yawe Arusha.
Arusha ndio centre ya Utalii Tanzania na ni jirani na Miji yote Mikuu ya EAC lakini tayari ni Makao Makuu ya Baraza la Michezo la Afrika, inakuaje tumepitwa na hii fursa ya kuwa makao Makuu ya Vilabu Afrika?
Kenya Haina lolote kwenye soka ila imetuoiga bao kwenye hii lobbying, why?
Serikali jifunzeni kufanya Promo ya Miji yetu yenye hadhi ya Kimataifa, hakuna kitu kinakuja bila lobbying.
Kiufupi imeniuma sana na imenikera.
==
Pia soma: Kenya inaendelea kutuacha Tanzania: Ofisi za NBA Africa zafunguliwa Kenya kusaidia kukuza vipaji na mchezo wa katika Kikapu