msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,142
kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka moja sasa, kuna jamaa wake wa kipindi cha nyuma ambaye walikua naye kwenye mahusiano ana mdogo wake tunafanya nae kazi ofsi moja sasa siku moja katika kupiga story na yule jamaa yaani mdogo wake na x boyfriend wa mchumba wangu akanivujishi inshu kua et kaka yake kipindi bado ana relation na huyu G friend wangu waliwah ku abotion!!!!
jaman hiyo inshu imeniuma sana mpaka sasa nashindwa nn cha kumfany maana niliwah kumuliza mapema sana kama ana mtoto au aliwahi kutoa mimba lakini akanikatali katakata, jaman waungwana huyu ananifaa kwel?
We unataka mke kweli au?