Mi nadhani anakufaa ila wewe ndio humfai na ni bora umuache hadi utakapokua.
Kwa kweli alichokuwa anafikilia siwezi kujua ila you sound very immature. Umbea tu ndo maana ofisini kazi haziendi.
kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka moja sasa, kuna jamaa wake wa kipindi cha nyuma ambaye walikua naye kwenye mahusiano ana mdogo wake tunafanya nae kazi ofsi moja sasa siku moja katika kupiga story na yule jamaa yaani mdogo wake na x boyfriend wa mchumba wangu akanivujishi inshu kua et kaka yake kipindi bado ana relation na huyu G friend wangu waliwah ku abotion!!!!
jaman hiyo inshu imeniuma sana mpaka sasa nashindwa nn cha kumfany maana niliwah kumuliza mapema sana kama ana mtoto au aliwahi kutoa mimba lakini akanikatali katakata, jaman waungwana huyu ananifaa kwel?
kuna watu ukiwaambia ukweli unaharibu kila kitu....Uongo n mbaya sana watu hawajui tu..kama uliwah muuliza akakana na hakutaka kujua mdokeze tena mwambie una habar zake umeskia aliwah abort uone atakavyojibu halafu ujaribu kufanya research yako mwenyewe uthibitishe hicho ulichoambiwa... Ataficha hadi lini
Nakushukuru....
Badilisha hiyo akili kijana, kila moja ana past na haikuhusu kwakweli, kama ali abort na she made peace with it who are you kuanza kumuingilia mwenziyo hivyo?
Mbona unaamini watu wa pembeni kuliko kipenzi chako? Unajuaje kuwa hayo unayoambiwa ni kweli? Labda mtu anataka muachane.
Tafadhal kabla hujareply huwe unasoma thred adi mwisho na uhakikishe unaelewa ndo ujibu kulingana na uzi.
Kweli kaka angu jaman kweli mwizi waeza mkamata na kitu alichoiba na akakana kua yeye sio mwizi/kaiba na wakati huo uzibitisho upo kua kaiba,kweli ulitegemea atakuambia kua kachoropoa mimba? but kaa nae muulize vizuri kiustaarabu then akikubali muulize kwanini aliitoa coz you never know labda there was a problem that's she decided to abort it,if its true!

ahsante sana nitafanya hivyo