BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Hapa nlipo nnamawazo, nipo kazini na siamini kilichotokea kama ni kweli. Mmmmmhhhh nashindwa hata kuendelea kusimulia maana macho yote yanabubujika machozi uuuhhhhhh iiiihhhhhh :crying::crying::crying::crying:
Yaani nimeumizwa moyo mnoo, sijui hata kama ntaweza kufanya kazi leo am so down!!!
Hakuna mtu mbaya kama mnafiki, ni zaidi ya muuaji, wanifanyia unafiki mtaani hadi kazini daaah!!!!
uuuhh moyo unauma jamani.......:crying::crying::crying::crying::crying:........
niombeeni tuu
Umeibiwa kibamia chako niniii
Nini?????
Nini?????
Humu jf wagonjwa wa akili ni wengi.
Jinywee zako sumu tu ujifie mkuu.
Umeibiwa kibamia chako niniii