sasa kwanini huyo ambaye haja muoa alie.?Hiyo picha inasema mengi.
kwangu mimi inasema hivi.
"Huyo Dada alikua na mahusiano na mwanume mwingine lakini haku fanikiwa kuolewa naye."
Ni kweli kaka Jambazi ndio maana nikasema inasema mengi.sasa kwanini huyo ambaye haja muoa alie.?
Iyo inawezekana mdada kakutana na mtu mwingine mwenye pesa zake akaolewa.
Sio hayupo hapo kihisia !! Ameshaamuumiza mtuUbunifu mzuri although huyo dada hayupo hapo kihisia.
Na ndo mana VISASI katika mahusiano huwa haviishi .... mtendwa aweza asilipe kisasi pale pale but aka- react huko mbeleni wakati mtenda ashasahau ....Mtu anashindwaje kujitoa uhai kwa hali hiyo?
Uyo anaelia bora asijue tu
Yaweza pia kuwa kweli .... kama alimwacha wa kwanza akaenda kwa mwingine afu huko akatendwa .... akirejea kwa yule wa kwanza na kukuta hali ile , ni lazima CHOZI la uchungu na majuto limdondokeHiyo picha inasema mengi.
kwangu mimi inasema hivi.
"Huyo Dada alikua na mahusiano na mwanume mwingine lakini haku fanikiwa kuolewa naye."