Imekuwaje Tcra na wasafi fm.

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
1,137
Reaction score
1,802
Kwakweli nimeshindwa kuelewa nini kimetokea Kati ya Tcra na wasafi crue/wasafi fm,maana redio nyingi hapo nyuma kidogo na karibuni zimekuwa zikipewa frequency za mwishoni kabisa katika jiji la dsm na pwani,kuna radio nyingine zimehangaika Sana kufika dar kutoka mikoani zinapata tabu Sana hadi leo,zingine zimepewa code za mwishoni kabisa,lakini wasafi wameingia tu wamepewa code nzuri ya mwanzoni 88.9 mhz dar.sasa apo ndio tunapata wasiwasi iweje wao wamepata io nzuri na wengine walibaniwa?je walishindwa bei ya code za mwanzo au hizo code zipo kulingana na category ya station au kuna nn behind the scene?,but hongera kwao WCB kwa kupata code hio nzuri.
 
Sioni tatizo ukipewa mwishoni au mwanzoni, kama unajua hizi issue za Amplitude na Fequency Modulation (Analogue Telecommunications). Tuache siasa kwenye maswala ya kitaalam, kwani hamna tatizo lolote ukiwa mwanzo au mwisho.kinachotakiwa ni mwenye radio kuitangaza radio yake basi.
 
Wacha vijana wapewe motivation, hapo wanapambana na clouds ukitaka nenda mahakamani ukakate shauri


Tangia clouds iwe na machoko mengi nimeamua kuhamia Wasafi yaaaaaaaniiiiiiii ni music tu wanasafisha njia kabla hawaja take over Worldwide


Mleta thread utakuwa umetoka Azam, Azam wamepewa za mwisho kabisa karibia na ukuta wa radio
 
Wacha vijana wapewe motivation, hapo wanapambana na clouds ukitaka nenda mahakamani ukakate shauri


Tangia clouds iwe na machoko mengi nimeamua kuhamia Wasafi yaaaaaaaniiiiiiii ni music tu wanasafisha njia kabla hawaja take over Worldwide


Ni sawa na kununua mahindi kipindi cha mavuno na kuja kuyauza kipindi yameadimika (Jiongeze)
 
Kuna watu mpaka leo hii walinunua hizo frequencies wakazihodhi wanazo kwenye Brifcase zao majumbani Ukiwa na pochi nene unauziwa tu. So ata wewe kama unataka zipo azijaisha. Kuna watu walikuwa na Frequency za makampuni ya simu wakitegemea ziuza kwa bei ghali ila zikaja kula kwao 2016.
 
Asante kwa kuwasaidia wanaume wa Dar waijue frequency yao 88.9..
Hebu ngoja nilist za kwetu sisi wa mikoani.
 
ambacho hajui ni kuwa kitu kikiwa digital hakiitaji kitengewe umbali fulani bali limit tha band kutokana na sheria ya nchi na code za masafa walizopewa
 
.
 
Huyu itakuwa ni miss mandoza mana hata kule Twitter kalalamika Sana wasafi FM kupata hiyo frequency Kwa DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…